Lucky Fat Arses! Refa naona leo anawabeba, hiyo foul ya Koscielny ndani ya penalty box amepeta, clear penalty....na hilo goli la Blackpool angeweza kutoa penalty ya red card kwa Lehman, ina maana mngecheza na watu 10 na mchezaji wa ndani angekuwa kipa maana hamna kipa kwenye benchi lenu.... again, lucky Arses!