Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Punguani na asiye na akili hapo vipi, kila mtu huku wankujua wewe zimesinyaa hizo akili zako
 
Nafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.

Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.

Of course HUNA AKILI
Na mtapoteana hapa mtakapokutana na miamba, hauna akili na wewe kabisa na ndio maana wewe ni shabiki wa Arse anal
 
Hii mechi itakua turning point kwa albert sambi Lukonga.

He is going to surprise us again for the stunning performance.

#COYG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…