Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta Kuhusu kumtumia Zinny nafasi ya Partey


: "It's one of the options.

"We can use him in midfield, as an attacking midfielder, even as a holding midfielder.

"Of course, it's an option. He's played there as well, so it's great to have players who can give us that versatility."
 
Unaisema Manure Ile ya mwaka Jana na mechi mbili za ligi za msimu huu.
Mechi tatu wamepress sana japo sio Kwa pace kubwa

Arsenal mmeshinda mechi moja tu za away dhidi ya Manure katika mechi 15 mlizocheza Oldtraford.

Arsenal mmefungwa goli nyingi za away dhidi ya timu 17 zote za EPL isipokuwa Anfield mmefungwa 69 na Oldtraford 49.

Kwa takwimu hizo na form nzuri ya Manure kuanzia game la Liverpool msitambe sana Wala msijipe mahopes mtaadhirika

Mkishinda mechi ya kesho mtakuwa timu ya tano kushinda mechi sita mfululizo za kuanzia EPL
Newcastle x1 (1994/5 Chelsea x2 (204/5 na 2009/10 Mancity x1 ( 2016/17 na Liverpool x2 (2018/19 na 2019/20
 
Mikel Arteta kuhusu umuhimu wa kwenda kushinda Old Trafford:

"Sio jambo jipya. Tumelifanya, lazima tulifanye tena.”
One out 15
Kesho mnashindiliwa
Timu zote mlizozifunga ni ordinary, bado hamjakutana na miamba ya soka
 
(per Transfermarkt):

🤏 Smallest squads:

Man City - 23
Arsenal - 23
Palace - 24
Brentford - 24

🫂 Largest squads:

Man Utd - 31
Forest - 30

👴 Oldest squads:

West Ham - 27.7
Fulham - 27.5
Newcastle - 27.3

👦 Youngest squads:

Arsenal - 24.3
Southampton - 24.9
Wolves - 25.3

ℹ️@Footballfactly
 
Man u ya msimu huu na msimu uliopita tofauti yao Ni maingizo ya wachezaji wapya

Man u bado anaogopa kuanzia mpira nyuma kwa game nilizowaona
 
One out 15
Kesho mnashindiliwa
Timu zote mlizozifunga ni ordinary, bado hamjakutana na miamba ya soka
Wewe lembu bhana unachekesha Sana

Wewe umefungwa na timu kubwa?

Eti timu zote ordinary , Sisi tumeanza kutoa vipigo toka preseason mkasema it's just a preseason Tena akiwapo Chelsea huyu huyu anayecheza hivi hivi akila chuma 4

Kwenye Ligi ya epl hakuna kibonde

Ndio maana Astonvilla tuliyempiga wiki iliyopita kwa mpira mkubwa Jana kambana city, na refa angekuwa Makin city asingepata hata point 1

Kwanini hampendi kuheshimu wapinzani?

Kocha wa man u anapenda kupress lkn mfumo haujakubali ,hata kuanzia mpira nyuma mech 2 za mwanzo alipoteza sababu ikiwa hiyo ,Hana kipa wakufanya hivo ,
 
Kosa ilikuwa 100% ni la refa. Kwenye movement ya goli hakutakiwa kumuangalia lisemen. Iliudhi sana jana
Hapakuwa na haja hata ya kuaangalia var kwa sababu referee kashasimamisha mchezo na wachezaji wakarelax ,wakisubili maelekezo , kumbe hapakuwa na kosa lolote ,ile ni referee mistake ....!
 
One out 15
Kesho mnashindiliwa
Timu zote mlizozifunga ni ordinary, bado hamjakutana na miamba ya soka
Kama Villa ordinary bas muulize city
Kama crystal palace ordinary muulize liver

Southampton kakufanya nini,?
Leeds kakufanya nini?

Hizo ni timu kubwa???



Au chelshit uko alipo, kakutana na timu kubwa ipi?

Ndio maana wanakuita LEMBUA
 
Kama Villa ordinary bas muulize city
Kama crystal palace ordinary muulize liver

Southampton kakufanya nini,?
Leeds kakufanya nini?

Hizo ni timu kubwa???



Au chelshit uko alipo, kakutana na timu kubwa ipi?

Ndio maana wanakuita LEMBUA
Just give youself false hopes!
 
Anapopita saka ndio yupo huyo malacia

Anapopita martinel ndio yupo dalot

Nyumbu leo kazi anayo,

Sancho, rashgord na elanga wanaenda kukutana na vyuma hivi: Gabriel, Saliba, White/Tomiyasu

Alafu sijui kwanini huwa de gea hataki kabisa kudaka mashuti ya XHAKA
 
🗣Mikel Arteta on #Arsenal's recent record at Old Trafford:


“I wouldn’t like any of our players feeling that way because they’re good enough to go there and win the match and I think we have the belief that can happen. If not, it’s better to stay at home.” 💯 🔴
 
Jana City alikuwa ameisha kama sio ujinga wa refa na linesman

Jana Liverpool alifungwa goli halali kabisa alikuwa amekufa kama sio wizi wa marefa.(Hii mara ya pili liver anapona kwa mgongo huu huu) imewezekanaje VVD ametoka bila red Jana?

Chelsea Jana alikuwa ameshona kijola nae kama sio VAR.that was not a foul aisee 🙌

Spurs angesare vizuri tu Jana nae ,Kane kafunga goli la offside kama alilofunga Richardson Ila limekataliwa la Richardson likaruhusiwa la Kane.

🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Hizi sumu wanazotengeneza Kuna muda watu uvumilivu utawashinda watawaonyesha marefa sura zao za ukweli.
 
Arsenal leo mmeyakanyaga mmedandia mtumbwi wa vibwengo nyie kisoka bado mjakomaa tukutane hapa baadae mje kulalamika sijui leo lawama mtampa nani.

hatutaki habari sijui za partey leo ajacheza leo ni kibano kweri kweri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…