Kwa ulinzi tulionao leo lazima tuchapwe mengi tu...Wenger kwa nini kampanga Sylevestre wakati katoka majeruhijana tu na kiwango chake ni kibovu,leo lazima tuchapwe mengi tu,noma kweli yaani
Sylevestre kawaokoa mara kadhaa,ila kama si Almuna basi The gunners wangekuwa down 3 nil...Ni half time,Arsenal wanahitaji mabadiliko hapo,Fabregas bado hajafanya mambo.
Mkuu balantanda wacha wapige makele ikifika dk ya 88 tutawauliza ngapi ngapi watuletee matokeo kama waliyoandika hapo juu
arsenal oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I know, lakini dalili zote ni kwamba giunners watalala, hata mahesabu yanaweza kuonyesha hivyo!
Basi natoa pole nusu, nyingine ntamalizia dk 90 zikiisha.
Mkuu balantanda wacha wapige makele ikifika dk ya 88 tutawauliza ngapi ngapi watuletee matokeo kama waliyoandika hapo juu
arsenal oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!