Tunaendelea kusuka timu nzuri, yenye kiwango, angalia wastani wa Umri wa Wachezaji wetu tulionao. We have bright future with those kids Infront.
Pamoja na Walimu wengi waliopita pale, ila Mzee Wenger alitu inspire wengi kushabikia hii timu. Nimeacha kutumia Ulabu enzi za Ujana but sio hii timu.
Kuna wakati nimewahi kujaribu kuiacha lakini mara zote nimeshindwa, Nahisi mpaka kifo kitutenganishe 🤗