Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Arsenyeto bana mnavaa jezi mitaani kwa kipi cha maana sasa
kwani man u lini ilikuwa timu ya ushindani?tofauti yake na westham ni jez na uwanja tu ila vingine mko sawa naoYani sijui kwanini sijawai kuiona arsenal kama ni timu ya ushindani pale EPL mkimaliza round 1 hata na point 35 ndajua kidogo mpo serious huu mwaka.
Huyo jamaa kumbe ni arsenal hahahaahUnaliponda chama lako na timu yako ya damu kabisa.
Carrasco putin ni asrenyetoh pure kuna uzi nilisearch wa miaka ya nyuma nikakuta comment yake akihuzunika arseno kupoteza na kulisifia kwa kusema chama lake nikacheki sana nikajisemea ndio maana analeta fujo kumbe alikua anateseka kwa miaka mingi sasa kaamua kujifurahisha kwa kulipa kisasi.Huyo jamaa kumbe ni arsenal hahahaah
Tutamiss sana mapenati ya huyi mwamba.Arsenal's Ainsley Maitland-Niles has also been discussed as another option for David Moyes and West Ham.
(@SimonJonesMail ) - Hit and miss
West Ham fail in fresh bid for Club Brugge midfielder Hans Vanaken https://t.co/oIKm032JfJ
Tutamiss sana mapenati ya huyi mwamba.
Usipende kuwazoea Wanaume watakuwashia Nyeto mpaka upate mimba ya Mgongoni. Utapumuliwa haswaa.Mpo busy na makundi ya uefa yanawahusu arsenyeto nyie ukame fc
Leeds unamshindwa, huko UCL na epl, crabao upo na city, msimu huu msipoumwa Sonoma ,basi tenaWanaume wako na AC Milan huko nyie mmekazana na kelele za kuongoza ligi na mechi zenu tatu.
TuliaLeeds unamshindwa, huko UCL na epl, crabao upo na city, msimu huu msipoumwa Sonoma ,basi tena
Wewe nenda Uropa huko ukakutane na wanaume wa Uropa wakushone.Leeds unamshindwa, huko UCL na epl, crabao upo na city, msimu huu msipoumwa Sonoma ,basi tena