Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aaaah jamaa ana balaa nakumbuka mechi ytu aseee alipga long balls za hatar afu mpira lazma ufikeWatu wanachukulia Mambo kirahis Sana
Zaha na eze wangukuwa hawakai na mpira Sana ,wangeshinda hii mech
Halafu yule muhuni anapiga long balls Kama karogwa Andersen sijamuona , angekuwepo kipind Cha pili angewasaidia Sana kwenye kaunta
Yule Kama karogwa kwa long balls , Siku ile White alikoma ubishiAaaah jamaa ana balaa nakumbuka mechi ytu aseee alipga long balls za hatar afu mpira lazma ufike
Wana upepo au wanatoa upepo?Ndugu zangu mna Upepooo msimu huuu...!!
😀 😀 😀 😀Angalau wameanza vizuriWana upepo au wanatoa upepo?
Epl mbio zake ndefu na hawa wauza supu hawana pumzi.
Nina uhakika wa asilimia nyingi Arsenal pumzi itakata mapema sana kabla hata ligi haijafika mbali.
Arsenal inayoanza ligi kwa kusuasua ndio hua inafika mbali ila hawa kina Salima(Saliba) muda sio mrefu wataanza kuliwa kimasihara, Europa inawahusu tena msimu ujao.
Utakuta ww ni shabiki wa man uWana upepo au wanatoa upepo?
Epl mbio zake ndefu na hawa wauza supu hawana pumzi.
Nina uhakika wa asilimia nyingi Arsenal pumzi itakata mapema sana kabla hata ligi haijafika mbali.
Arsenal inayoanza ligi kwa kusuasua ndio inayofika mbali ila hawa kina Salima(Saliba) muda sio mrefu wataanza kuliwa kimasihara, Europa inawahusu tena msimu ujao.
Ndugu hamis ni vizuri umekiri elimu yako ni ndogo. Ukitata kunielewa utanielewa, usipotaka its ok i don't give a shit.NIKWELI MIMI SIJUI MPIRA , ILA NITAKUELEZA KIDOGO NIKIJUACHO,
Maana naona unadai Partey hakai na mpira mara ha hold , nimejiuliza wewe unayejua mpira ,unashindwaje kujua Aina ya viungo, unashindwaje kujua toka Arteta anafika Arsenal alisema anataka kiungo gan wa chini, kuanzia hapo nimekuwa na wasiwasi na uliposomea mpira nakuujua .
Mimi kwa elimu yangu ndogo, nimekuwa namsikia kocha anasema Partey ana control game , hakumleta Partey awe Holding midfielder Kama unavyolalamika ,
msikilize Kocha hapa
YouTube › watch
"Exceptional! He controlled and dominated the game!" Arteta ...
Sasa Mimi nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa napoteza muda
Anachosema Kocha Kuhusu Partey
"He's really important because he is the anchor," Arteta said. "He is the one that needs to read what is happening and make the rest better.
"That's his biggest job, to get the right balance in the team and get the right fluidity in the team so we can attack.
"How he managed the transitions was top, he has the pressing and the charisma
Kocha anamuona ndiye muhimili wake ,wewe huna hata lesen ya awali hapo TFF unasema vingine .
Kocha anasema huyo ndiye boss wa midfield ya Arsenal , Anchor , wewe unakomaa mara ha hold mpira , Nan aliyekwambia Arteta anamtumia Partey Kama Holding midfielder?
Huyo ni DEEP LYING PLAYMAKER
DEEP LYING PLAYMAKER.
-Tofauti yake na deep lying midfielder au holding midfielder ni kwamba, deep lying playmaker focus yake ya kwanza uwanjani ni kuifanya timu iende mbele zaidi. Anaweza asiwe na majukumu makubwa ya kukaba na kuzuia lakini anahakikisha anai-push timu iende mbele. Mara nyingi viungo wa aina hii wanakua na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbali zenye uhakika,
pasi ya ‘kuhamisha uwanja’. Mfano mzuri ni kiungo mtaalamu Andrea Pirlo, Nchini Italy viungo wa aina hii hujulikana kama “Regista”. Nchini Brazil kama “meia-armador”.
Ndio maana Arteta hakuwa na time na viungo wapiga kuni Kama Bissouma , Toreira ,
Hapa unapata picha Kuna kipind alimtaka Hadi Gorginho wa Chelsea ,why Ni sababu anataka kiungo anayecheza juu ya back 4 awe DLP , na kwasasa sokon anayepatikana mwenye hiyo role Ni FDJ .
Utaona hata Eric Ten hagg kwann anakomaa na FDJ , na sio wapiga kuni.
Naishia hapa ,
Nipo sahihi mkuu, nipo sharp enough, i know what I'm talking about.Mimi nilikuwa nashangaa tu! Maana huyu mwenzetu ni kama anaanza kupoteza akili ya mpira polepole maana Huwa Yuko vizuri ila nahisi alisoma mahali hiyo habari ikamuingia na yeye kaihamishia hapa.
Ananichanganya zaidi anaposema partey yuko na IQ ndogo, sasa sijui kina mctominay kama Watakuwa hata na ubongo
Mkuu unaelewa cuz mjadala huu tulianza mimi na wewe, game ilikuwa dhidi ya Brentford nilikupa hadi viclip, matatizo yake ni tactical consinstency ndio inamfanya anafeli as a controller.Ananichanganya zaidi anaposema partey yuko na IQ ndogo, sasa sijui kina mctominay kama Watakuwa hata na ubongo
Mfano mzuri mkuu, Thomas partey is physically & technically better than Sergio bosquets, lakini nani anacontrol games vizuri btn them? Jibu ni Sergio bosquets, why? He got an IQ, he understands how to dictate the tempo of the game.Yaan sijui kina MCFred Wana IQ ngapi
Mkuu haina haja ya kurudi tulikofunika kombe, binafsi niliamua kukaa kimya tuliache(naheshimu maoni yako, si lazima sote tuwe sawa, hii ni nature kabisa)Mkuu unaelewa cuz mjadala huu tulianza mimi na wewe, game ilikuwa dhidi ya Brentford nilikupa hadi viclip, matatizo yake ni tactical consinstency ndio inamfanya anafeli as a controller.
Kuna makosa ya aina mbili, kuna makosa individual errors, na kuna makosa tactical errors, Partey yupo kundi la pili, that's why wengi hamuoni kwa macho ya kawaida.
Im speaking from elite perspective, ukweli Arsenal hatuna uwezo wa kucontrol games kama liverpool / City wafanyavyo ingawa tuna qualitative & tactical balance kwenye frst X1, sasa kwanini hatuwezi kucontrol games wakati Controller tunaye and he is talented than Rodri/ Fabinho? Simple, he lacks the mental side of the game, he lacks IQ.
Umezungumzia hiki kitu, nimekigusia hapo juuArsenal tunaweza kuwin the league this season, if and only if tutakuwa injury free, upgrade Xhaka's profile in 433, Partey atakuwa tactically consistent, Magalhaes ana mambo yake ila kwa sasa hayana uzito sana cuz atleast tuna qualitative balance all over places so Partey & Zinchenko wanamsaidia kwenye progression.
Wtf bro! Iam talking of control, i don't talk of how good he is, mbona tunashindwa kuelewana kwa vitu vidogo tu, im talking of tactical execution from MR partey. Siongei kuwa ana ubora gani individually.Mkuu haina haja ya kurudi tulikofunika kombe, binafsi niliamua kukaa kimya tuliache(naheshimu maoni yako, si lazima sote tuwe sawa, hii ni nature kabisa)
Ila kwangu uzungumzacho sicho, kwangu partey anaitendea haki nafasi yake kwa A+, hii kazi ilimshinda xhaka, tukawa na maboko mengi yaliyosababisha magooli kibao, toka aje ishu imepungua, tizama mashambulizi yetu yanavyoanza, tizama anavyoiamuru timu kuondola nyuma, anaisogeza kwa touches zake, mikimbio bila mpira ama dribbling, kitu kimoja tu si mzuri saana wa kupiga long balls, kwa position yake anahitaji mnoo hii kitu..
Anaweza fanya kazi yake fresh, wenzie wakashindwa timiza majukumu yake, msimu uliopita game na man city tu aliwaweka hao kina rodri na wenzie mfukoni akawa anatamba yeye tu.