Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Watu wanachukulia Mambo kirahis Sana
Zaha na eze wangukuwa hawakai na mpira Sana ,wangeshinda hii mech
Halafu yule muhuni anapiga long balls Kama karogwa Andersen sijamuona , angekuwepo kipind Cha pili angewasaidia Sana kwenye kaunta
Hi mech ya man vs Liverpool watu wanamdharau man u Sana ,ila mpira ulivyo sitashangaa sare au Liverpool akapigwa ,sitashangaa hii ndio epl
Hi EPLAlikuwemo, ndiye alimsababishia redcard Darwin, palace wanajua sana kuwatafutia watu red
I'm speaking Facts, shida upo Biased kwa kudhani Thomas Partey / Gabriel hawana flaws. Jifunze mpira kwanza halafu nisome vizuri utanielewa. Vinginevyo utaniona kama adui.Wewe ndugu Kuna sehemu ukiongea huu ujinga utapigwa makofi, endelea kuongea humu humu ,sijui Partey Hana IQ , sijui ha hold mpira na bla bla nyingine
Lile goli alilofungwa De gea nahili lakipa wa Leicester lipi rahisi?
Kwa sabab kafunga martinell ndio maana unasema ubovu wa kipa magoli kama yale makipa karibu kila matchday wanafungwa mzee ni far post ile kipa anakuwa mbali kuufikia mpira
Mpira sio mchezo wa perfect 100%
Nakushauri endelea kuongea hayo unayosema humu humu ,
Ok wewe unajua mpira , nisamehe mimiI'm speaking Facts, shida upo Biased kwa kudhani Thomas Partey / Gabriel hawana flaws. Jifunze mpira kwanza halafu nisome vizuri utanielewa. Vinginevyo utaniona kama adui.
Yaah bro! i like people who are professional, nilitegemea unipe sababu kwanini Partey haikoseshi timu control, sio unambie sijui "ooh utapigwa makofi blah blah blah" that's amateurism.Ok wewe unajua mpira , nisamehe mimi
Nakaa kimya maana naona unaongea utumbo , nisamehe Kama nimekosea ,Yaah bro! i like people who are professional, nilitegemea unipe sababu kwanini Partey haikoseshi timu control, sio unambie sijui "ooh utapigwa makofi blah blah blah" that's amateurism.
NIKWELI MIMI SIJUI MPIRA , ILA NITAKUELEZA KIDOGO NIKIJUACHO,Yaah bro! i like people who are professional, nilitegemea unipe sababu kwanini Partey haikoseshi timu control, sio unambie sijui "ooh utapigwa makofi blah blah blah" that's amateurism.
Mimi nilikuwa nashangaa tu! Maana huyu mwenzetu ni kama anaanza kupoteza akili ya mpira polepole maana Huwa Yuko vizuri ila nahisi alisoma mahali hiyo habari ikamuingia na yeye kaihamishia hapa.NIKWELI MIMI SIJUI MPIRA , ILA NITAKUELEZA KIDOGO NIKIJUACHO,
Maana naona unadai Partey hakai na mpira mara ha hold , nimejiuliza wewe unayejua mpira ,unashindwaje kujua Aina ya viungo, unashindwaje kujua toka Arteta anafika Arsenal alisema anataka kiungo gan wa chini, kuanzia hapo nimekuwa na wasiwasi na uliposomea mpira nakuujua .
Mimi kwa elimu yangu ndogo, nimekuwa namsikia kocha anasema Partey ana control game , hakumleta Partey awe Holding midfielder Kama unavyolalamika ,
msikilize Kocha hapa
YouTube › watch
"Exceptional! He controlled and dominated the game!" Arteta ...
Sasa Mimi nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa napoteza muda
Anachosema Kocha Kuhusu Partey
"He's really important because he is the anchor," Arteta said. "He is the one that needs to read what is happening and make the rest better.
"That's his biggest job, to get the right balance in the team and get the right fluidity in the team so we can attack.
"How he managed the transitions was top, he has the pressing and the charisma
Kocha anamuona ndiye muhimili wake ,wewe huna hata lesen ya awali hapo TFF unasema vingine .
Kocha anasema huyo ndiye boss wa midfield ya Arsenal , Anchor , wewe unakomaa mara ha hold mpira , Nan aliyekwambia Arteta anamtumia Partey Kama Holding midfielder?
Huyo ni DEEP LYING PLAYMAKER
DEEP LYING PLAYMAKER.
-Tofauti yake na deep lying midfielder au holding midfielder ni kwamba, deep lying playmaker focus yake ya kwanza uwanjani ni kuifanya timu iende mbele zaidi. Anaweza asiwe na majukumu makubwa ya kukaba na kuzuia lakini anahakikisha anai-push timu iende mbele. Mara nyingi viungo wa aina hii wanakua na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbali zenye uhakika,
pasi ya ‘kuhamisha uwanja’. Mfano mzuri ni kiungo mtaalamu Andrea Pirlo, Nchini Italy viungo wa aina hii hujulikana kama “Regista”. Nchini Brazil kama “meia-armador”.
Ndio maana Arteta hakuwa na time na viungo wapiga kuni Kama Bissouma , Toreira ,
Hapa unapata picha Kuna kipind alimtaka Hadi Gorginho wa Chelsea ,why Ni sababu anataka kiungo anayecheza juu ya back 4 awe DLP , na kwasasa sokon anayepatikana mwenye hiyo role Ni FDJ .
Utaona hata Eric Ten hagg kwann anakomaa na FDJ , na sio wapiga kuni.
Naishia hapa ,

Napenda mnavyoanza kutubu mmoja mmojaNdugu zangu mna Upepooo msimu huuu...!!
Ananichanganya zaidi anaposema partey yuko na IQ ndogo, sasa sijui kina mctominay kama Watakuwa hata na ubongo😂🤣NIKWELI MIMI SIJUI MPIRA , ILA NITAKUELEZA KIDOGO NIKIJUACHO,
Maana naona unadai Partey hakai na mpira mara ha hold , nimejiuliza wewe unayejua mpira ,unashindwaje kujua Aina ya viungo, unashindwaje kujua toka Arteta anafika Arsenal alisema anataka kiungo gan wa chini, kuanzia hapo nimekuwa na wasiwasi na uliposomea mpira nakuujua .
Mimi kwa elimu yangu ndogo, nimekuwa namsikia kocha anasema Partey ana control game , hakumleta Partey awe Holding midfielder Kama unavyolalamika ,
msikilize Kocha hapa
YouTube › watch
"Exceptional! He controlled and dominated the game!" Arteta ...
Sasa Mimi nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa napoteza muda
Anachosema Kocha Kuhusu Partey
"He's really important because he is the anchor," Arteta said. "He is the one that needs to read what is happening and make the rest better.
"That's his biggest job, to get the right balance in the team and get the right fluidity in the team so we can attack.
"How he managed the transitions was top, he has the pressing and the charisma
Kocha anamuona ndiye muhimili wake ,wewe huna hata lesen ya awali hapo TFF unasema vingine .
Kocha anasema huyo ndiye boss wa midfield ya Arsenal , Anchor , wewe unakomaa mara ha hold mpira , Nan aliyekwambia Arteta anamtumia Partey Kama Holding midfielder?
Huyo ni DEEP LYING PLAYMAKER
DEEP LYING PLAYMAKER.
-Tofauti yake na deep lying midfielder au holding midfielder ni kwamba, deep lying playmaker focus yake ya kwanza uwanjani ni kuifanya timu iende mbele zaidi. Anaweza asiwe na majukumu makubwa ya kukaba na kuzuia lakini anahakikisha anai-push timu iende mbele. Mara nyingi viungo wa aina hii wanakua na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbali zenye uhakika,
pasi ya ‘kuhamisha uwanja’. Mfano mzuri ni kiungo mtaalamu Andrea Pirlo, Nchini Italy viungo wa aina hii hujulikana kama “Regista”. Nchini Brazil kama “meia-armador”.
Ndio maana Arteta hakuwa na time na viungo wapiga kuni Kama Bissouma , Toreira ,
Hapa unapata picha Kuna kipind alimtaka Hadi Gorginho wa Chelsea ,why Ni sababu anataka kiungo anayecheza juu ya back 4 awe DLP , na kwasasa sokon anayepatikana mwenye hiyo role Ni FDJ .
Utaona hata Eric Ten hagg kwann anakomaa na FDJ , na sio wapiga kuni.
Naishia hapa ,
Yaan sijui kina MCFred Wana IQ ngapiAnanichanganya zaidi anaposema partey yuko na IQ ndogo, sasa sijui kina mctominay kama Watakuwa hata na ubongo😂🤣