Nitakubaliana na wewe tu endapo utasema anatakiwa ku-hold mpira pale timu inapokuwa kwenye pressure so anahold ili kuituliza timu vinginevyo binafsi sioni ulazima wa DM kuhold mpiraMkuu DM unataka a-hold mpira wa nini? 8 & 10 watafanya kazi gani? A-hold akiwa eneo gani??
Katika time hatuziwazii ni Chelsea ,huyo Spurs asidhan atapata tena kubebwa kwa red cardNasubiri ifike zamu yako halafu uje uongee hizi pumba zako hawa Spurs si ndo kakuzuia ww kuingia top 4 hawa Spurs si ndio alimpiga Man city kwake na kudroo na Liverpool pale anfield
Hizo mechi mbili ulizoshinda zisikupe jeuri ukaona mko bora kuliko wengine ligi ndefu hii
Arsenal ya sasa wanacheza haraka sana ,hakuna Muda wa Partey kukaa na mpiraNitakubaliana na wewe tu endapo utasema anatakiwa ku-hold mpira pale timu inapokuwa kwenye pressure so anahold ili kuituliza timu vinginevyo binafsi sioni ulazima wa DM kuhold mpira
Mda ukifika utaongea vizuri endelea kujipa matumainiKatika time hatuziwazii ni Chelsea ,huyo Spurs asidhan atapata tena kubebwa kwa red card
Wewe huna timu ,umekutana na Spurs anakaa nyuma ,umepiga pass 1000000 , lkn hujashinda
Yule fofana ndio mnataka kutoa £85m ? 😂😂Mda ukifika utaongea vizuri endelea kujipa matumaini
Sisi hatulipi hela kwa mafungu ndio maana tunabeba makombe ..ninyi kushinda mechi mbili tu tayari munajiita title Contender 😂😂😂🤣🤣😭😭Yule fofana ndio mnataka kutoa £85m ? 😂😂
Inakuhitaji miaka 50 ufikie idadi ya makombe ya arsenalSisi hatulipi hela kwa mafungu ndio maana tunabeba makombe ..ninyi kushinda mechi mbili tu tayari munajiita title Contender 😂😂😂🤣🤣😭😭
Nonsense, arsenal Timu ambayo ipoipo Tu usiitaje arsenal kwenye sentesi moja na ChelseaKwa mipira waliocheza spurs na chelshit
Wote hao napiga nje ndani, ata wakiunganisha vikosi vyao
Spurs ataendelea kuwa spurs, sioni jipya
Conte ni wakizamani sana
Mpira umebadilika sana, hasa EPL
Chelshit kama demu wetu tu[emoji41]
Kama inauma si uchomoe mkuu?😁Nonsense, arsenal Timu ambayo ipoipo Tu usiitaje arsenal kwenye sentesi moja na Chelsea
Msimu uliopita chelshit anapigwa kukiwa na lundo la majeruiKama inauma si uchomoe mkuu?[emoji16]
Bei imeshukaMartinelli has regained his confidence
What he did to Fofana that day was very unfair
Chelsea wants to buy him [emoji23][emoji23][emoji23]