Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal fans chant:

🗣 “Youri Tielemans, we will see you next week.”

🗣️"Youri Tielemans, Tutaonana wiki ijayo"
 
Wakipona sana 4
 
Haya ndiyo mambo yenyewe tunayoyapenda. Sawa tumefungwa mbili ila foxes hawana hamu na sisi kabisa. Wakisikia wanakutana na sisi wanakuja uwanjani kutimiza wajibu tu ila wanakuwa wanakuwa kitakachotokea. Siku hizi kukitana na foxes ni uhakika wa ushindi
 
Kwa kuangalia game ya palace na hii ya Leicester nimeona kuwa arteta anataka kumtumia Xhaka kama vile pep anavomtumia Gundogan

ila ugumu anaokutana nao kocha Kwa Xhaka ni mzito sana tofauti na Gundogan jamaa ana speed Sana, ni second kadhaa tu anatoka kwenye backline unamkuta kwenye opposition box

Kitendo cha zinny kuwa anaingia ndani kutengeneza double pivot na partey then Xhaka anaenda mbele ni the same na pep anavofanya Kwa Gundogan

Xhaka anakosa quality ya Gundogan Kwanza kwenye ufaster lakini pia kwenye kufanya maamuzi sahihi Kwa wakati sahihi anapokuwa karibu na lango la upinzani, Ila somehow anajitahidi na Hongera kwake kwani ana goal na Assist

kama Xhaka atashindwa totally kumaster vile Arteta anataka ni wazi anampa nafasi kocha kukomaa na tielemans maana wote tunajua vile jamaa Yuko Very Sharp compared na Xhaka
 
Nafurahi nikiona vitu kama hivi, sasa imagine Tielemans at Lcm & Mr Vieira Rcm, it's so so scary.
 
Kitu kingine ukichunguza kwa makini utaona Xhaka anacheza zaidi kwenye touchline akicombine na Martinelli, Zinny anakuwa as advanced #8 kwenye settled possession, maana yake xhaka anashindwa kuexcel in BTL that's why Arteta anampa role ya kucover LB/ LW endapo zinny yupo kwenye pivot with partey or as adv #8, ukweli ni kuwa Xhaka si mzuri kwenye progressive phase, ubora wa xhaka ni kwenye build up phase. Xhaka si press resistant, Tielemans ni press resistant kumzidi hata Thiago Alcantara. Arsenal tutaanza kucontrol games kama tutaupgrade hizi profile tatu Magalhaes/ Partey/ Xhaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…