so far so good,ila katika mech dhidi ya big six kila nafasi inayopatikana lazima itumike effectively la sivyo mnaweza kushikana uchawi.kwenye game dhidi ya big six mnaweza kujikuta mech nzima mnatengeneza only one or two clear chance.zisipotumika vizuri mwisho wwa mechnajikuta mnaanza kulaumiana .