Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
ipo league oneHiyo timu ipo ligi daraja la ngapi?
Yan kucheza vzuri huko ligi za chini ndio kawa proven tayari kupambana na EPL?
Tutakupiga marufuku kuja humu, kuongea utumbo
Jibu swali kacheza timu gan championship?Wewe unaizidi management ya saton ,? Bazunu kucheza portsmouth kaimprove pakubwa mno ....
HUYU jamaa anabisha bila kufanya utafiti,Hiyo timu ipo ligi daraja la ngapi?
Yan kucheza vzuri huko ligi za chini ndio kawa proven tayari kupambana na EPL?
Tutakupiga marufuku kuja humu, kuongea utumbo
Ile tackle kwa Zaha ndani ya box in the second half ndo nikasema huyu mtu na nusu.William Saliba ana miaka 21 ila anauwezo wa kudictate tempo ya mchezo, anajua muda gani wa kuharakisha mchezo na muda gani wa kuslow it down, unlike Gabriel Magalhaes.
Huyo alikuwa anamzibiti mbappe na speed zake vzr KabisaIle tackle kwa Zaha ndani ya box in the second half ndo nikasema huyu mtu na nusu.
Huyo alikuwa anamzibiti mbappe na speed zake vzr KabisaIle tackle kwa Zaha ndani ya box in the second half ndo nikasema huyu mtu na nusu.
Ningekuwa mm Neto hapana Ila YT yes1. "Tielemans is a very important deal and I think you will see him coming. I'm confident about that"
2. Neto is a possibility and Mendes mostly will be involved in winger signing
(@iemadAFC via @egygoonerpod)
Mtamkataa huyo siku moja, magwaya wa Arsenal.I'm not surprised by William Saliba performance by the way, Saliba is really gem toka France league one, he defend very well against Mbappe, Mess, Wissam Ben Yedder, Jonathan David & Martin Terrier.
Anaendelea alipoishia tuu msimu uliopita.
View attachment 2317935View attachment 2317936
Unadhan mabeki yako Yale yenye miaka 30+Mtamkataa huyo siku moja, magwaya wa Arsenal.