Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pep Leo anaongea mengi, Mm nawaletea hili


Pep Guardiola on Gabriel Jesus:

"He’s the best striker/defender I ever found..."

[via ManCity]
 
Class touch by Mikel for Zinchenko's family as welcome. ❤️

"Dear Vlada, Something for you and your daughter. Welcome to Arsenal Family, Mikel Arteta"
 

Attachments

  • IMG_20220728_214858.jpg
    92.6 KB · Views: 21
Yule malaya anasema Partey kambaka lini? Haya yanakuja baada ya project kuanza kukamilika
 
Yule malaya anasema Partey kambaka lini? Haya yanakuja baada ya project kuanza kukamilika

huyo demu anaonesha lawama kwamba partey amepata bahati baada ya sheria za uk kubadilishwa, anasema partey alibaka akiwa holiday nje na uingereza na baada ya mabadiliko uk hawashughulikii kesi zilizofanyika outside.

Anasema kaliwa tope na Partey🤣

Kesi mahakaman kashindwa, kaliamsha kwenye mitandao ya kijamii,duh
 

Attachments

  • IMG-20220728-WA0030.jpg
    45.4 KB · Views: 22
  • IMG-20220729-WA0006.jpg
    25.4 KB · Views: 22
  • IMG-20220729-WA0008.jpg
    30.2 KB · Views: 20
EMILE SMITH ROWE

Ndiye mchezaji pale Arsenal kwangu Mimi mwenye brain ya kipekee ,Ndiye mchezaji anayeweza kutafsiri mikimbio kwenye half space

Ndiye mchezaji anayeweza kufanya one two kwa haraka Sana kuliko mchezaji yeyote ndani ya arsenal

Ndiye mchezaji ambaye mkifanya one two touch basi atakufanyia kitu kinaitwa A THIRD MAN RUN

A THIRD MAN RUN Ni nini?

A third-man run happens when the team in possession attracts an opponent towards the ball. Two players exchange passes before a third makes an off-the-ball run into space to receive. Third-man runs are therefore crucial to finding a player in a better position who cannot be found with a direct pass.

NOW EMILE SMITH ROWE KATIMIZA MIAKA 22,
 
Happy 27th birthday, Carlos Cuesta! 🎂

⚽️ Assistant to Mikel Arteta
🗣 Fluent in six languages
📃 Already holds a UEFA Pro Licence

#Cuesta #Arsenal #AFC
 

Attachments

  • IMG_20220729_140006.jpg
    77.3 KB · Views: 24
Sikupingi mkuu
Huyu ni ball brain
 
Huyu manzi sio mzima akia nani, mambo gani hayo anazungumza public
 
ESR ni mchezaji mzuri kweli na ana kipaji cha hal y juu ila naona majukumu ya arteta anay mpa ana pata shida kuyatkeleza ;sio mchezaj ambae anapenda sna kukaba so sitaona ajabu martinelli akiw bdo anaendlea kuanza mbele yake..
Martinelli naye si haba. Akianza mbele yake siyo kwa sababu anakaba zaidi. Shida yake naona anaangalia sana chini akiwa na mpira na kukosa kuona pasi kwa wenzie na kuchelewa kuachia mipira
 
Martinelli naye si haba. Akianza mbele yake siyo kwa sababu anakaba zaidi. Shida yake naona anaangalia sana chini akiwa na mpira na kukosa kuona pasi kwa wenzie na kuchelewa kuachia mipira
Si kam benzema,, tu,, katika watot ngumu kuchkua mpir mguu kwke par arsenaliinga

Bas ni martinell
 
ESR ni mchezaji mzuri kweli na ana kipaji cha hal y juu ila naona majukumu ya arteta anay mpa ana pata shida kuyatkeleza ;sio mchezaj ambae anapenda sna kukaba so sitaona ajabu martinelli akiw bdo anaendlea kuanza mbele yake..
Ndio maana nilipata kusema inabidi tuwe na defensive midfielder mgumu pale kati ili tuuone ubora wa hali ya juu wa hawa
Odegard, Rowe, martinel, saka, jesus

Kwa sasa tunae partey, sina wasiwasi na kazi yake pale kati
Shida ni majerui tu
Coz tukiwa na kiungo mkabaji mzuri, hao madogo hawatashuka sana chini, muda mwingi watakua kulekule mbele
Na hapo ndio utaona mtu anakufa 4 alafu bado anatafutwa

Kama unakumbuka kipindi partey alivyoumia, tukajikuta timu nzima imekua defensive,
fluidity ya kushambulia inakua ngumu sana, coz hadi tufike golin kwa wapinzani. Tunajikuta tumechelewa, watu wameshajipanga kitambo tu

Crystal palace yule mshenzi ijumaa ndio tunaanza nae kumalizana zile hasira za msimu uliopita.
Moja kati ya timu zilizofanya tuwe huku Europe
 
arteta ndiye alisababisha tuwe europa wala si crystal palace. Anyway, tuachane na hayo. Huu ni msimu mpya hawa washamba lazima tuwakandamize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…