OMG !PASS YA ZINCHENKO KWA SAKA
Tielemans ni wakumalizana nae mapema huyu kaka,Sambi 8.
We have options at LCM. Xhaka, Odegaard, Vieira, Lokonga and Saka can all play there.
Invest in an LCB and a RW (Olise) this season.
RB, Tielemans in January or for free next season.
Otherwise if we really need a midfielder, get Paqueta for RCM.
na ilo jambo aliwezekani sasaKipindi kile Carzola alikua ana tugharimu sana akiumia tu Msimu unaishia hapohapo
Sahiv upepo umeamia kwa Partey so tunahitaj mbadala wake incase yakitokea yasitukute
ila itakua poa Kama ata stay fit whole season, tutatisha..
Alafu Gabriel alichoenda kufanya ni ujinga, akauwa move nzima ya goal kuna muda waga ana mapepe sana, kulikuwa hakuna haja ya kupiga turn na kurudisha mpira tena Kwa zinny





