naona city ndiyo timu ya kufanya nao biashara. Tuwacheki pia kuhusu mahrez kumpa competition saka. Labda pia na ball-playing keeper wao na kdb watuuzie pia.
SO nyie kocha wenu ndo anayo iyo mentality ya ubingwa ?Ligi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.
Hata mkipewa kikosi kizima cha wachezaji wa Mancity bado kwenye top4 mtaingia kwa kusuasua.
Jesus na Zinchenko mliokua mnawaona City chini ya Arteta mtawaona ni wachezaji wa kawaida mno.
Usajili bora mtakaofanya ni kutafuta kocha mwenye mentality ya Ubingwa ila sio huyo Mateka wenu ambae achievement yake kubwa anayoifurahia ni kuwepo kwenye top4.
si unajua tena hawa jamb kila mchezaji wao tunaemfuata wanatupa tu. Sasa kwa nini tusiende kuchukua wengine?Ha haaaaaaaaa wamuuze kdb
Ha haaaaa watupe cancelo wengne wabaki naosi unajua tena hawa jamb kila mchezaji wao tunaemfuata wanatupa tu. Sasa kwa nini tusiende kuchukua wengine?
Unaumia sana?Arsenal = man city B
mkuu katika watu wana haiba isiyo ya kimichezo ni wewe,its all about insanity all the day.badilika mkuu,tazama maudhui ya wanajamvi wengine humu kama yanafanana na yako.Kafilane huko, tafuta bwana akukaze fala ww.
Kuna members wengi nimewaignore. Hapa naona nimemuignore ila nimeclick kuona alichoandika ni sawa kabisa nilivyomuignore.mkuu katika watu wana haiba isiyo ya kimichezo ni wewe,its all about insanity all the day.badilika mkuu,tazama maudhui ya wanajamvi wengine humu kama yanafanana na yako.
unakeraa inshort way.humu kuna watu tuna umri ambao huwezi anza hata kuufikiria,kuna vijana,watu wazima,wazee,kina mama,kina baba,mashehe,mapadri,wachungaji nk.hawa wote wanatofauti zao kulingana na nature zao au profesheno zao lakini mchezo wa soka unawaleta pamoja bila kujali tofauti zao.
tafadhali jiheshimu na maudhui ya mchango wako peleka majukwaa husika au changia kistaarabu.
sorry if its too personal
mkuu katika watu wana haiba isiyo ya kimichezo ni wewe,its all about insanity all the day.badilika mkuu,tazama maudhui ya wanajamvi wengine humu kama yanafanana na yako.