Narudia tena“We can't assure everyone that he will be regular but he will have many minutes to play” Arteta
Huyu dogo atacheza utamuona ni mtu akiwa kaitaka game.
Ile tuzo ya MVP ufaransa Hajapewa Bure mbele ya Tchoumeni,Nuno Mendes ,Hugo Ekitike nk [emoji23]
Yes twendelee kuona ujue Saliba aliyecheza game ya PSG×2 Monaco 2 na Lyon 1 alikuwa mtu hatari sana hizi games ndo zimemsaidia yeye kuwa national team coz alikuwa mtu katili Sana...lkn baadae akaswitch off akawa anakanyaga kwenye level nzuri kama wenzake.
Kwa game nlizotaja apo juu zilizompa sifa sana Saliba akiweza kucheza hivyo for half of season hakuna beki Arsenal anaweza kumweka Saliba nje....lkn Saliba akiwa kwenye siku za kawaida kama yule mliyemuona national team huyu anakaa nje mbele ya White
Ongezeni juhudi mtetee nafasi yenu ya sabaNarudia tena
Kwani saliba na white hawezi kumaliza pale nyuma?
Mimi naona kama inawezekana hivi
Kuhusu ukuta pale nyuma sina wasiwasi hata kidogo
Tena wajinga wajinga kama nyumbu sioni kama watapitisha mpira umfikie kipa
Chelshit watapaki sana bus msimu huu
Vp kuhusu Golia, Matt Turner unamuonaje.Kikosi kilichoanza Jana
Leno hakuwa hata sub, Huyu anakaribia kuuzwa Fulham Arsenal wanataka £15m, sio £10m .
Saliba ,Partey , walikichafua Sana
Saka , Odegaard,Jesus wanaelewana
Hawa kina bellerin,Tavares, Nelson, pepe soon watafute timu
Tierney alikuwa na slight injury, So Ndio maana Zinny anakaribia kutua, tutaanza Ligi na Zinny
Upande wa kulia Tomiyasu yupo fit, Akisaidiana na Cedric
Saliba karud kuchukua namba za watu
Tunahitaji backup ya Magalhaes, eneo lake ni muhimu
Kumbe hamlali mnaifuatilia timu yetu😁Hizi mnachezaga saa nane usiku [emoji23][emoji23]
Msimu uliopita Ni mancity na Liverpool nadhan ndio walituzid mech nyingi za kushindaUsajili wa Moussa Diaby + Paqueta/ Tielemans unatupeleka kwenye title runs to compete with City, Liverpool & Spurs, few will agree.
City na Liverpool tuUsajili wa Moussa Diaby + Paqueta/ Tielemans unatupeleka kwenye title runs to compete with City, Liverpool & Spurs, few will agree.
NyumbuuuuuuuuNyie Arse888 mnakuaga na mikakati mikuuubwa mtafikiri mna bonge la timu, msimu ukianza chaliii. Halafu ni kila msimu ni hivi hivi, ndio mana nawaonaga kama kidogo zimeyumba.
Mkuu unawasikiliza the Sun ?
Aliyewaroga nyie arse888 mungu anamuona.Usajili wa Moussa Diaby + Paqueta/ Tielemans unatupeleka kwenye title runs to compete with City, Liverpool & Spurs, few will agree.