Unasema kweli ila hofu yangu kwake ni kwamba kawauza Jesus na Sterling bila kuwareplace, so kapunguza runners in behind, so either pep asajili natural wide player kurudisha balance or Liverpool washinde Epl nxt season. Sahivi EPL ukikosa balance kumbuka kuna wagumu kama Newcastle, Spurs, pia bado wengine wakubwa wanakungoja, yaani utakubali mwenyewe.pep anajua kureplace wachezaji ,ndio maana anapenda timu zenye pesa
Ameuza ferran tores Lin Kama hakijatokea kitu
Kauza sane ,now Rahim
Nahisi kama anataka kubadilika ,Kuna kipind walitaka kumzoea wakawa wanampiga kaunta , akabadilika akawa na beki bora,Unasema kweli ila hofu yangu kwake ni kwamba kawauza Jesus na Sterling bila kuwareplace, so kapunguza runners in behind, so either pep asajili natural wide player kurudisha balance or Liverpool washinde Epl nxt season. Sahivi EPL ukikosa balance kumbuka kuna wagumu kama Newcastle, Spurs, pia bado wengine wakubwa wanakungoja, yaani utakubali mwenyewe.
Tuendelee kuwa wapole mpka atakapotuaMan City na Arsenal inaonesha wanakaribia kukubaliana Bei,
Now Arsenal wanajadili mshahara na Zinchenko
bt pep pesa nazo znambeba sana aseeeepep anajua kureplace wachezaji ,ndio maana anapenda timu zenye pesa
Ameuza ferran tores Lin Kama hakijatokea kitu
Kauza sane ,now Rahim
Kauza sterling na Jesus anabet kwa Alvarez na halaand ....epl sio rahisi kiivi aisee ...Unasema kweli ila hofu yangu kwake ni kwamba kawauza Jesus na Sterling bila kuwareplace, so kapunguza runners in behind, so either pep asajili natural wide player kurudisha balance or Liverpool washinde Epl nxt season. Sahivi EPL ukikosa balance kumbuka kuna wagumu kama Newcastle, Spurs, pia bado wengine wakubwa wanakungoja, yaani utakubali mwenyewe.
Aaah kmbe amesaini mkataba mpya tenaGnabry alisema hawez kwenda Chelsea mara Mia abaki hapo Baryen
Gnabry anaiheshimu Sana Arsenal , ndio ilimpa nafasi katika umri mdogo
Had alipokuja kutapeliwa na wakala wake kupelekwa Leverkusen ili aende Baryen
LEO AMEAMUA KUBAKI BARYEN , KWA KUSAINI MKATABA MPYA
Saka sio mchezaji wa kuondoka Arsenal, soon anamwaga wino, labda Arsenal ndio wamsajili Halaand ila sio Saka kwenda City.City wanampigia mahesabu Saka as Sterling replacement
Nyie usajili wenu wa maana ilikua ni kusajili kwanza kocha mwenye mentality ya kunyanyua makombe ya Epl na Uefa, kubaki na Arteta hata mkisajili kikosi kizima cha Man City ila mwisho wa msimu hamuambulii hata kombe la FA.Arsenal ipo kwenye good direction kwenye usajili kumpata Jesus na Zichenko ambao ni mentality winnersni jambo la kujivunia plus replacement ya Partey tutakuwa tunasubiri msimu na Arteta atakuwa hana reasons mpya Arsenal ikishindwa kuperform but kuna tatizo kubwa sana nalo ni DISCIPLINE players wetu hawabadiliki Xhaka Gabriel Partey Holding Ramsdale hawa mara nyingi kutoa boko sio ishu tunaweza tukasajili but tusipoangalia suala hili yale yale tutakuja kuandika kwa hasira I hope management watafanyia kazi suala hili
Arsenal ipo kwenye good direction kwenye usajili kumpata Jesus na Zichenko ambao ni mentality winnersni jambo la kujivunia plus replacement ya Partey tutakuwa tunasubiri msimu na Arteta atakuwa hana reasons mpya Arsenal ikishindwa kuperform but kuna tatizo kubwa sana nalo ni DISCIPLINE players wetu hawabadiliki Xhaka Gabriel Partey Holding Ramsdale hawa mara nyingi kutoa boko sio ishu tunaweza tukasajili but tusipoangalia suala hili yale yale tutakuja kuandika kwa hasira I hope management watafanyia kazi suala hili
Heri nyie mliyesajiri Ten Hagg mwenye DNA ya Epl na uefaNyie usajili wenu wa maana ilikua ni kusajili kwanza kocha mwenye mentality ya kunyanyua makombe ya Epl na Uefa, kubaki na Arteta hata mkisajili kikosi kizima cha Man City ila mwisho wa msimu hamuambulii hata kombe la FA.