Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wanasajiri kwa profile sio kufata jina

🚨 || Arsenal saw Lisandro Martínez as a LB to compete with Tierney whilst United see him as a CB [Via - @TheAthleticUK].

Profile za Mabeki wakati CB wa Arsenal ambao Kocha anawataka lazima wawe warefu

Gabriel magalhaes ana 6ft na 3inch

Ben White ana 6ft na 1 inch

Saliba ana 6ft na 4inch

So Arsenal walimuhitaji MARTINEZ mwenye 5ft 7 inch Kama LB backup ,

Sasa LB backup kwa €55m ,Arsenal walikataa hicho kitu waliishia €40m basi.
 
Zinchenko to Arsenal bado, hakuna kilichofanyika Kati ya timu na timu au timu na mchezaji mpaka sasa
 
Zinchenko to Arsenal bado, hakuna kilichofanyika Kati ya timu na timu au timu na mchezaji mpaka sasa
Sikweli dakika 2 zilizopita

Charles watts Arsenal correspondent kutoka goal.com kaongea haya


"Growing belief now that Arsenal and City will strike a deal over Zinchenko. Nothing agreed yet, but discussions over a fee are ongoing and moving in the right direction. All parties working towards getting the deal done. Talks are going well."


MWISHO WA KUNUKUU
 
KIPAJI HIKI KINAENDA CHELSEA ,WAMESHINDWANA NA ARSENAL KWENYE MKATABA

🚨 Arsenal youngster Omari Hutchinson is set to join Chelsea. The 18-year-old had been speaking with Arsenal about a new deal, but talks had broken down. [@ChrisWheatley_] #afc
 
BREAKING: Oleksandr Zinchenko is expected to complete a move from #ManCity to Arsenal.

[via @Jack_Gaughan]
 
Castr mkorea henry

Arsenal imegoma kutoa €55m kwa Lisandro Martinez,

Now inaenda kumpata Zincheko , LB, LCM,AM kwa €30m


Mna maoni gani

Na mnaionaje city ,mbona inauza sana
Kwa kua kocha anapenda wachezaji versatile binafsi sioni shida.

Nilimcheki sana Lisandro tulivyohusishwa naye, anajua kukaba ila ni reckless Zinchenko naona ni mchezaji ambaye kwa City anaweza asishine ila akashine Arsenal.

Kwa 30M nafikiri ni bargain. Tumesababisha Lisandro apande bei kisha tumewaacha United wadeal na over price.
 
Iliwahi KUTOKEA kipind Maguire yupo Leicester, Pep alimtaka , man u wakaingilia kati , MWISHO Bei ikafika 80

Lisandro ,man u wasingeingilia alikuwa anaondoka kwa €40m TU

Now kauzwa €55m + add ons hapo package ya €60m
 
There has been no formal approach to Gabriel Magalhaes from Juventus, however, and it would require an enormous fee to even tempt Arsenal into selling one of their most consistent performers. [Telegraph]
 
Why back up?huyo Tierney kwa sasa anatakiwa ndiye awe back up player tena uzuri Fabrizio ametoa good news about Zichenko aje atupe DNA ya ushindani,mchezaji gani kila baada ya game 4 au 5 kituo kinachofuata ni hospital
even juzi game kacheza only 20 minutes katolewa nje
 
Ile ya Juz Arteta alisema hakuumia ila alimpa dk chache apate fitness, ila kwasasa amepona

Record zinasema kila msimu anacheza 57% ya mech zote ,hivo ndio maana wanaleta mshindan Mwingine

Kwangu ninavyomfahamu zincheko anaweza kumpa changamoto ya hali ya juu Tierney
 
Arteta ni coach anayedefend sana players wake may be inawezekana ni true or not but kwa Zichenko sio mchezaji wa kukaa benchi hapo Tierney ajiandae kisaikolojia anything can happen timu inayotaka achievements haiwezi kuwa na players aina ya Tierney tuombe Mungu mambo yaende vizuri even Partey replacement yake lazima ifanyike as soon as possible
 
Ukiwekewa Zincheko na Martinez ,kuwa mkweli unamchukua Nan?

Tulimtaka Martinez Kama msaidizi wa LB , huyo asingweza kumuweka nje Tierney


Hatukumtaka aje acheze CB sababu Ni mfupi Sana ana 5feet na inch 7
maneno ya mkosaji hayo, nyie endeleeni kutafuta kina Makwinyoz wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…