Hivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi RaphinhaNext week Ni Raphina na Lisandro Martinez
Siku ya mwisho ya Usajiri anaingia Tieleman
Hapo kuna biashara ila kuna player interest, ni rahisi kumtoa Raphinha Leeds kwenda Arsenal kuliko kumtoa Raheem city kwenda ArsenalHivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi Raphinha
Arteta kipaumbele chake Ni RW, na anamuona Raphina ndio anafaa, anataka mtu wakumpa changamoto Saka, uzuri Raphina anacheza hata LW tofaut Rahim Ni mzuri Zaid LW Sana, ninachoona Rahim tutaishia kumtukana acha aende Chelsea, yule jamaa anakosa magoli Sana ,na happy city wanacreate a lot of chancesHivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi Raphinha
Sioni kama Tielemans atasajiliwa dirisha hili labda January, nafasi anayocheza imekuwa si priority tena, nadhani kama si Xhaka juendelea basi Fabio Vieira/ ESR mmoja atalazimishwa kucheza LCM, kuna nafasi zina uhitaji wa quality kuliko LCM, mfano backup ya Tomiyasu ni Soares ambaye hana quality inayohitajika, Ramsdale Turner/ Leno, wote si distributors wazuri. Backup ya Partey Lokonga ? Elneny?Next week Ni Raphina na Lisandro Martinez
Siku ya mwisho ya Usajiri anaingia Tieleman
Mkuu, mchezaji kusajiliwa Arsenal inabidi kuwa kiraka kwa ajili ya Depth, timu inalack depth, Raphinha ana sifa zote kukupa quality kwenye LW na RW.Hivi mpango wa Raheem Sterling umefika wapi? Naona kiasi kinachotakiwa kwa Raphinha City walihitaji pungufu kwa ajili ya Sterling. Na mimi nafikiri Sterling ana uzoefu wa nje na ndani kumzidi Raphinha
Swala la Tieleman bado lipo ON, za ndan inasemekana Leicester wanataka £30m ,Arsenal wanapambania Kwanza vipaumbele vyao Kwanza, mwisho Leicester lazima atakuwa na presha hivo ataogopa kumuacha aje aondoke bure ,hivo atamuuza kwa bei ya chiniSioni kama Tielemans atasajiliwa dirisha hili labda January, nafasi anayocheza imekuwa si priority tena, nadhani kama si Xhaka juendelea basi Fabio Vieira/ ESR mmoja atalazimishwa kucheza LCM, kuna nafasi zina uhitaji wa quality kuliko LCM, mfano backup ya Tomiyasu ni Soares ambaye hana quality inayohitajika, Ramsdale Turner/ Leno, wote si distributors wazuri. Backup ya Partey Lokonga ? Elneny?
Budget pia inaonekana finyu ndio maana Arteta anajaribu kutafuta depth kwa kusajili wachezaji versatile kama Lisandro martinez wanaocheza kwenye multiple-position.
I'm not sure ila nahisi we're not signing Youri Tielemans this window, japo unaweza kuwa sahihi.Swala la Tieleman bado lipo ON, za ndan inasemekana Leicester wanataka £30m ,Arsenal wanapambania Kwanza vipaumbele vyao Kwanza, mwisho Leicester lazima atakuwa na presha hivo ataogopa kumuacha aje aondoke bure ,hivo atamuuza kwa bei ya chini
Kwa Tomiyasu backup yake Arteta alisema ameridhika na Soares ,
Halafu mm naona bajet sio finyu ndio Sababu ya kutafuta versatile players,
Kumbuka Arteta Ni mwanafunz na mfuas wa Pep, hawa wanapenda versatile players pale city karibu 90% Ni versatile players , sio Sababu Ni bajet finyu
Hii Ni mojawapo ya kuwa na depth squad yenye quality,
Arteta huyu huyu ndiye amekuja kuitroduce mfumo wa kuwa na namba 10 wawili ndan , Smith na ode,, hizi Ni ideas za Pep hizi, we
Now anaenda kucheza 4-3-3 yenye
Fabio Partey ode
Mifumo hii au ideas hiz za Arteta kutoka kwa Pep hazitaki Viungo wagumu, zinataka mafundi wakukaa na mpira,
Ndio maana Toreira hawez kucheza chin ya Arteta ,
Mashabik walimtaka Bissouma lkn unaambiwa kwenye Top list ya Arteta waliojuu Ni kina Tieleman ,