Naona jamaa ni fighter lakini sioni kama ana ukali huo. Halafu ana GA 14, hataki kuja Arsenal akili yake ipo Barcelona sioni kama ni option nzuri. Bei yake nayo si mchezo
Ila sasa mpunga wanaotaka leeds ni shida. Wanataka 65M na hilo tangazo kagewa kila aliyemtakaKwa kiwango chake uyo ni wa 40-50£M alikua anatamani kwenda barca ila hakufunga mlango kwa timu nyingine na chaguo lake tofauti na Barca ni Arsenal over Tottenham
Arsenal tuko slow sana kwenye usajili mpka inaboa
issue ya jesus inaanda mwezi sasa
tielemans nayo tia maji tia maji
Arsenal hatuko serious kabisa
...Kuna chemistry inahitajika to win the league than the names of players. Philips mwenyewe pancha, I doubt if he will feature in the first XI of man city. Cucurella namkubsli sana, nimesikitika he was available for cheap na timu yangu haijamchukua.
Hivi ni kweli tunaweza kumnunua Raphinha kwa €70m? Ikiwa hivyo nitaamini Arsenal mean business, hapo hatujapata ST na ni lazima tumnunue, Tavares akiondoka lazima tupate backup ya Tierney, huyo jamaa wa Ajax nae nasoma ni ghali sana...Second bid ya Raphinha ni total ya €70M (€55M + 15M add ons)
Ikikataliwa hii bid tutafute chaka jingine wakina Gapko etc.
Nuno Tavares anaweza akaondoka.
United wamemkosa Timber wanaconsider kumfata LisandroHivi ni kweli tunaweza kumnunua Raphinha kwa €70m? Ikiwa hivyo nitaamini Arsenal mean business, hapo hatujapata ST na ni lazima tumnunue, Tavares akiondoka lazima tupate backup ya Tierney, huyo jamaa wa Ajax nae nasoma ni ghali sana...
United wamemkosa Timber wanaconsider kumfata Lisandro
Nafikiri wanataka wapunguze watu shida ni watu walionao hawatakiwi na timuLisandro tuna aslimia 80 za kumpata tofauti na United nahis United kwa sasa kwenye swala la usajili kuna shida kidogo sio kawaida kabisa kwao