We unaona City wanakosa Chemistry? Hata Fernandinho alikuwa pancha.Kuna chemistry inahitajika to win the league than the names of players. Philips mwenyewe pancha, I doubt if he will feature in the first XI of man city. Cucurella namkubsli sana, nimesikitika he was available for cheap na timu yangu haijamchukua.
Pepe ana tatizo la mentality, mcompare na watu kama Raphinha utaelewa, kaanza kusumbua toka kipindi cha Unai Emery.I differ from many Arsenal supporters, I have faith in Pepe save that he lacks coach’s faith thus playing time. Lakini he has saved the team in difficult moments
Tatizo hujanielewa, kwa sajili hizi zikifanikiwa zitatupa 10+ more points nxt season, kumbuka msimu huu tumepata almost point 70. 2023/24 Arsenal itastrength tena kuongeza margin, so bingwa hatofika point 90+ kama sasa, Kama Arsenal atakuwa na uhakika wa point 80+ na ubingwa unahitaji point 80+, so inamzuia vipi Arsenal kuwa kwenye title push?Wakati mwingine mkuu uwa una overheat, not sure if you are serious with this comment.
Ally we unazungumzia nafasi ya pili wakati wenzako wanapiga hesabu wasikose Europa tena msimu ujao?kwa arsenal nayoijua mimi hata nafasi ya pili hamtamaliza.
Arsenyeto mnajipya gani nyie? Hata uefa moja hamna
finaly
Bado mzee wa tap ins bwana Yesu, huyo ndio anasubiriwa sanafinaly
Mkuu unaifatilia arsenal kuliko unavyoifatilia man uMashabiki wa Arsenal mna maneno mengi sana kwa kweli, ila ligi ikianza mnakua kama watoto wa paka walionyeshewa na mvua. View attachment 2268724
Kabsa aseeee jamaa ajawai kukosa umuMkuu unaifatilia arsenal kuliko unavyoifatilia man u
leo nimeamini We all born to be the GUNNERS
Bangi tu ndio imetutenganisha
Jamaa anafanana kila kitu na Manara, yupo Yanga ila anaongoza Kwa kuiongelea Simba, kwenye kila maneno 10 basi Simba imetajwa mara 7Mkuu unaifatilia arsenal kuliko unavyoifatilia man u
leo nimeamini We all born to be the GUNNERS
Bangi tu ndio imetutenganisha
Mkuu unaifatilia arsenal kuliko unavyoifatilia man u
leo nimeamini We all born to be the GUNNERS
Bangi tu ndio imetutenganisha