computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Anapaniki nini sasa Legend?Nketiah sio forward wa uhakika kwenye EPL inategemea ameamkaje na huo ndio ukweli otherwise anamtetea Nketiah kumlinda sababu yeye ni Legend but ukweli anaujua moyoni mwake anazuga tu hapo mfuatilie kwenye uchambuzi wake sometimes anavyochambua players wetu huyo Fan yupo sahihi kwa mtazamo wake na ninampa support alitakiwa achape lapa na Laca this season tatizo linakuja Arsenal hana ubavu wa kusajili forwards wawili sababu ya ubahili then wameona Nketiah abaki licha fans wengi wa Arsenal wanajua uwezo wa Nketiah sio wa kuchezea Arsenal kama inataka achievements ambazo daily tunazisemaLove you @IanWright0. Some people simply don't deserve to be Arsenal fans
Kuna watu maji wataita mmaView attachment 2265246
Kuna watu maji wataita mmaView attachment 2265246
Yes hata mimi nimeliona hili. RW huwa anacheza vizuri sana.Saka ni best kwenye RW ila uko kwenye LW contribution yake ni ndogo sana
Vieira tia tiki tyar ashatua kazi imebak kwa hao wengneTAARIFA KUTOKA UINGEREZA ,INASEMEKANA ARSENAL WAMETENGA £200m+
£50 Raphinha
£50 Gabriel Jesus
£35 Fábio Vieira
£30 Lisandro Martinez
£30 Youri Tielemans
£20 Aaron Hickey
= £215m Arsenal transfer spree 🤔 Interesting
ukiipata na mimi fanya kunitupia 0719554607Kwa sajili hizi arsenal wanakwenda kuimarika..
Mwenye link ya kundi whatsApp la arsenal family naiomba hiyo link nijiunge kundini.
kabsa aseee ata mim kwa upande wanguUsajili wa Tielemans ndo utakua usajili bora sana kwangu
Kuna watu maji wataita mmaView attachment 2265246
Kwa sajili hizi arsenal wanakwenda kuimarika..
Mwenye link ya kundi whatsApp la arsenal family naiomba hiyo link nijiunge kundini.
Kwa jinsi mambo ninavyoona tutasajili wachezaji watano dirisha hili Marquinhois, Jesus, Vieira, Lisandro Martinez, Winger.
Kwa jinsi mambo ninavyoona tutasajili wachezaji watano dirisha hili Marquinhois, Jesus, Vieira, Lisandro Martinez, Winger.
Pepe inabidi auzwe, natural wide players wanabaki wawili Saka & Martinelli. Balance is keyKama pepe hatauzwa basi hakuna sababu ya kusajili winga wakati tuna option nyingi kwenye nafasi ya winga zote mbili, Saka,Pepe & Smith,Martinel hata Jesus pia anaweza tumika uko,
Pepe akibaki basi tunaitaji mchezaj tofauti wa eneo ilo hapo ndo naona nafasi ya Tielemans ipo wazi
Kama Man city watamsajili kalvin Phillips & cucurela, the probability of winning the league next season is so high.
Pepe inabidi auzwe, natural wide players wanabaki wawili Saka & Martinelli. Balance is key