Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🚨 David Ornstein | Kwa upande wa mabeki Lisandro Martinez ndiye kipaumbele cha Arsenal katika dirisha hili.

Arsenal wanataka mtu anaeweza kucheza Beki wa kati wa upande wa kushoto na beki wa kushoto.

Lisandro mwenyewe yuko tayari kucheza Arsenal.

Arsenal tayari wametuma ofa ya €30m lakini Ajax wameikataa lakini Arsenal hawajakata tamaa bado na wataendelea kupambana kumpata beki huyo Muargentina.
 

Attachments

  • IMG-20220618-WA0005.jpg
    37.7 KB · Views: 19
fabrizo anasema Youri mazungumzo bado yanaendelea kinasubiriwa ni ofa kutoka Arsenal
 
According to @tuttoatalanta , Atlanta is working "hard" to contract with Nuno Tavares.. Arsenal is asking for a huge sum of 40 million euros, despite buying it only 8 million euros a year ago.

Atlanta is working on finding a solution to complete the deal..it is not excluded that it will take place as a dry loan..
 
TAARIFA KUTOKA UINGEREZA ,INASEMEKANA ARSENAL WAMETENGA £200m+

£50 Raphinha
£50 Gabriel Jesus
£35 Fábio Vieira
£30 Lisandro Martinez
£30 Youri Tielemans
£20 Aaron Hickey

= £215m Arsenal transfer spree 🤔 Interesting
 
Vieira ni AM hivyo atacheza upande wowote akimsaidia Odegaard atakaecheza nyuma yake.

Atakuwa akicheza kama Bernado Silva au Gundogan wa City ambao hutengeneza vyumba kwa mshambuliaji na pia kufunga magoli.

Hiyo yamaanisha kwamba Emile Smith Rowe atakuwa akitokea bench.

Vieira atasaini mkataba wa miaka 5 na Arsenal wametengua mkataba wake na Porto ambapo kulikuwa na kifungu kinachotaka Euro milioni 50.

Hii ni shock move kwa sababu hakuna aliefahamu na Arsenal safari hii wamejifunza kucheza na transfer market.

Bissouma ni kiungo mzuri lakini ni mlinzi zaidi kuliko kutafuta vyumba ambapo Arsenal walikosa kiungo wa namna hiyo.
 

Attachments

  • IMG-20220616-WA0028.jpg
    61 KB · Views: 15
Lisandro Martínez can play CB, LB, and DM at a very high level. Say what you want about the signing, but we would be getting a player that will play lots of minutes in different positions. Perfect age, perfect experience, and with a lot of upside. Definitely exciting. 🇦🇷
 

Attachments

  • IMG_20220618_140545.jpg
    113 KB · Views: 18
Fabio Vieira played 76 mins against Liverpool last season at 21 y/o and got more G/A against them than our whole squad did in 4 separate games against them 😂

 
No player provided more assists during the 2021/22 Primeira Liga season than Fábio Vieira.

Turning some heads in the transfer market. ✨
 

Attachments

  • IMG_20220618_141131.jpg
    309 KB · Views: 18
Kwa sajili hizi arsenal wanakwenda kuimarika..

Mwenye link ya kundi whatsApp la arsenal family naiomba hiyo link nijiunge kundini.
 
Mikel Arteta is said to be a big fan of Lisandro Martinez & the player is also intrigued by the idea of working with him. [Sky] #afc https://t.co/5stUVaaHb2
 

Attachments

  • IMG_20220618_162309.jpg
    78.3 KB · Views: 22
Kwa sajili hizi arsenal wanakwenda kuimarika..

Mwenye link ya kundi whatsApp la arsenal family naiomba hiyo link nijiunge kundini.
guys nawakumbusha tu mchezaji aliyetangazwa rasmi ni maquinhos,tusijipe matumaini wala furaha baaadae tukaishia kuomboleza.arsenal ni bingwa wa tetesi na uncomfirmed signing.mchezaji kama hujaona amefanyiwa vipimo na kutangazwa huyo achana nae maana waweza jikuta unaacha kuingia humu.hii timu ni mabingwa wa kunagotiate lakini mwisho rivals huwa wanachukua kiulaini.
relaax subir official breaking news
 
skysports wanasema kocha wa man u nae anamtaka yule beki wa Ajax ambaye Arsenal wamepeleka ofa
 
 

Attachments

  • IMG-20220616-WA0027.jpg
    65 KB · Views: 17
 

Attachments

  • IMG-20220618-WA0003.jpg
    72.9 KB · Views: 18
PORTO WAMESHATHIBITISHA ,WEWE BADO HUAMINI TU?
Official, confirmed. Arsenal signs Fábio Vieira from FC Porto on a permanent deal, Portuguese club statement announces. ⚪️🔴🤝 #AFC

“Deal complete for amount of €40m, and of these, €5m are dependent on achievement of sports objectives”. https://t.co/oaRLXGpeVX
 

Attachments

  • IMG_20220618_170704.jpg
    42.9 KB · Views: 18
Love you @IanWright0. Some people simply don't deserve to be Arsenal fans
 

Attachments

  • IMG-20220618-WA0019.jpg
    32.8 KB · Views: 20
  • IMG-20220618-WA0007.jpg
    84.6 KB · Views: 19
Love you @IanWright0. Some people simply don't deserve to be Arsenal fans
Anapaniki nini sasa Legend?Nketiah sio forward wa uhakika kwenye EPL inategemea ameamkaje na huo ndio ukweli otherwise anamtetea Nketiah kumlinda sababu yeye ni Legend but ukweli anaujua moyoni mwake anazuga tu hapo mfuatilie kwenye uchambuzi wake sometimes anavyochambua players wetu huyo Fan yupo sahihi kwa mtazamo wake na ninampa support alitakiwa achape lapa na Laca this season tatizo linakuja Arsenal hana ubavu wa kusajili forwards wawili sababu ya ubahili then wameona Nketiah abaki licha fans wengi wa Arsenal wanajua uwezo wa Nketiah sio wa kuchezea Arsenal kama inataka achievements ambazo daily tunazisema
 
🚨Arsenal have today submitted a €42.5m offer for Gabriel Jesus which they are confident Manchester City will accept.

[@simpraisa] #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…