Mnamfichia udhaifu kocha wenu Arteta kwa kumrushia lawama zote MmilikiNa ww huelewi chochote kuhusu timu yetu,na timu yako vilevile ina matatizo kibao ndo unapaswa kudeal nayo
Deal na matatizo ya timu yako kwanza mzee........ Na nilipokutana na timu yako nilikupiga 4 na hii hii timu ya kina lokongaMnamfichia udhaifu kocha wenu Arteta kwa kumrushia lawama zote Mmiliki
Wachezaji wenu kibao wanaondoka free kabisa kwasasaMnamfichia udhaifu kocha wenu Arteta kwa kumrushia lawama zote Mmiliki
Mmepoteza fainali mbili dhidi ya Liverpool tens kwa penalty, Mara mbili mfululizo.......nendeni mkajipange na mkaangalie ni wapi mlikosea ili msimu ujao msipoteze fainali kipumbavuMnamfichia udhaifu kocha wenu Arteta kwa kumrushia lawama zote Mmiliki
Huyo conte kwa kikosi kilichopo Arsenal hawezi kukubali kazi ya kuifundisha na ndio alivyo na timu yetu makocha wengi walikuwa wanakimbia kuifundisha na Arteta akavaa hilo Bomu na kwa kocha mwingine kwa kikosi hiki tungekuwa tumeshuka daraja kabisa
Hilo swali hawawezi kujibu ukimtoa computerarsenal mashabiki wote waliobakia wa Arsenal ni mbumbumbu mnapewa mpunga wa maana na Mmiliki mnaenda kumnunua Lokonga Cha ajabu lawama wanampa Mmiliki?Mashabiki wa AsaniWali kwa kupenda kumkingia kifua Arteta utafikiri yamelishwa limbwata.
Hziyech22 ameuliza Wakati mnawasajili Thomas partey, Tomiyasu, Nuno tavares, Gabriel, Aaron Ramsdale Tierney, lukonga na Ben white kwa mkupuo kocha wenu alikua nani?
Penalty siku zote hazina mwenyewe, wewe hujashiriki kwenye michuano yoyote ya european alafu unashindwa hata kuingia big 4 uoni unamatatizo? Sisi tulipopata bahati kama yenu ya kutocheza michuano yoyote ya ueropen tulitumia vizuri hiyo fursa na tukashinda kombe la Ligi kuu la England uoni tofauti yenu na sisi?Mmepoteza fainali mbili dhidi ya Liverpool tens kwa penalty, Mara mbili mfululizo.......nendeni mkajipange na mkaangalie ni wapi mlikosea ili msimu ujao msipoteze fainali kipumbavu
Sisi matatizo yetu yanatutosha mzee
Hilo swali hawawezi kujibu ukimtoa computerarsenal mashabiki wote waliobakia wa Arsenal ni mbumbumbu mnapewa mpunga wa maana na Mmiliki mnaenda kumnunua Lokonga Cha ajabu lawama wanampa Mmiliki?
Siku zote hua namlalamikia sana computerarsenal kua hilo litimu analolishabikia haliendani kabisa na IQ yake, ndio maana migogoro kati yake na mashabiki wenzake hua haiishi, na wenzake hua waishia kumtukana na kumuona kama vile ni mamluki kila anapo jitahidi kuelezea mapungufu ya timu yao.Hilo swali hawawezi kujibu ukimtoa computerarsenal mashabiki wote waliobakia wa Arsenal ni mbumbumbu mnapewa mpunga wa maana na Mmiliki mnaenda kumnunua Lokonga Cha ajabu lawama wanampa Mmiliki?
Tumekuwa wababe dhidi ya cheltako na NyumbuBaada ya Kutufunga imewasaidia Nini msimu Huu?
Hehehehe acha nikae kimya sababu msimu umeisha na Arsenal haipo champions league tukutane August sina cha kubishana nonsense nipoteze muda wakati EPL imeisha nilisema Arsenal kwenda championsUnashibikiaje timu ambayo n disappointment?? Si uende huko ambako sio disappointment?? Wewe ni matatizo sana. Umekaa kama mke anaeetoa Siri za chumbani kwa mashoga zake. Better shut up
Hii inaonesha hamna tofauti na team like Everton, WatfordTumekuwa wababe dhidi ya cheltako na Nyumbu
Inasikitisha sana Arsenal leo wakuzungumzia lokonga wakati kipindi Cha nyuma mlikuwa mnawatu wamaana sana Watu kama diaby, song, Nasri, Arshavini, Thomas Rosisky, Carzola na wato hawa mliwasajili kwa pesa za madafuArteta aliipokea timu ikiwa Europa. Akaitoa nje ya top six ila ikarudi Europa kwa mlango wa nyuma. Kisha akashindwa kuifikisha Europa, CL na hata conference league.
Na msimu huu ameirudisha tena Europa.
Huku kikosi chake kikipoteza mechi 5 ambazo alitakiwa kushinda moja ili aende CL.
Tuhesabu tumefanikiwa? Anafaa kubaki kua kocha?
Mimi nafikiri anafaa lakini kuna maeneo anatakiwa kujirekebisha haswa katika kusajili, priority na namna anavyohandle wachezaji.
Tukianza katika usajili;
- Baada ya kua kocha akaazimia kupunguza upana wa kikosi ambacho kiliongeza wage bill ila performance ilikua hovyo. Akaachana na wachezaji wengine kwa mkopo, wengine free, wengine wakauzwa. Wakaondoka wakina Sead, Ozil, Iwobi, Auba, Bellerin, Guendouz, Torreira, Saliba, Mari, Mustafi, Nelson, Niles, n.k.
Kisha kiangazi akasajili Lokonga, Partey, Tavares, White, Martin, Ramsdale na Tomiyasu. Ilivyofika January akawa ana option ya kumsajili Melo na Kulusevski lakini akaona haina maana waliopo watamaliza msimu.
Ngwe ya pili ilivyofika katikati it was obvious kwamba timu haiwezi survive na Lokonga na Xhaka wakiwa kati ikabidi Elneny apate namba.
Wakati Arteta anakuja alimuambia Elneny hayupo kwenye mipango yake ni goli la Elneny la pre season ndiyo limembakisha Arsenal. Meaning kama asingescore Elneny asingekuepo na tungebaki na Lokonga na Xhaka pekee na tungejikuta tupo chini zaidi ya hapa.
Kisha unakumbuka kwamba amewaachia kwa mkopo Niles, Guendouz na Nelson wana uzoefu kuzidi Lokonga na ingekua sahihi angebaki na angalau wawili. Torreira simsemei sana kwakua alishasema anataka aondoke so isingekua na maana kumlazimisha abaki. So Arteta angeweza kubaki na Guendouz na Niles akamtoa kwa mkopo Nelson na pale kati bado tungekua tuna watu wanaoweza kusimama bila wewe kuhofia.
Mashabiki wa AsaniWali kwa kupenda kumkingia kifua Arteta utafikiri yamelishwa limbwata.
Hziyech22 ameuliza Wakati mnawasajili Thomas partey, Tomiyasu, Nuno tavares, Gabriel, Aaron Ramsdale Tierney, lukonga na Ben white kwa mkupuo kocha wenu alikua nani?
Hao uliowataja wote niliwafunga tena kwa magoli mengi sana ikiwemo na timu yako cheltako,kwahyo cheltako ndo hana tofauti na hao wenzako uliowatajaHii inaonesha hamna tofauti na team like Everton, Watford