Stop your bullshit!!Wachezaji wa AsaniAli wakiwa mazoezini kabla ya mechi na Newcastle. View attachment 2227432
Hii inaitwa "kata funua" hahahaha😂😂😂Wachezaji wa AsaniAli wakiwa mazoezini kabla ya mechi na Newcastle. View attachment 2227432
Sisi tunataka mukasirike Yani ile kiasi ukipewa wembe unameza😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Stop your bullshit!!
Very unlikely, count yourself out bro, yaani wala hiyo nafasi usiifikirie kwa msimu huu.Spurs game ya mwisho akilose Arsenal akawin anaqualify championsleague mhhh let's wait and see
Norwich keshashuka daraja wewe anakamilisha ratiba tu,, nyie mbuzi mjiandae Europa tu😂😂😂Bado nafasi ipo endapo spurs atapigwa na Norwich Arsenal wanahitaji ushindi wowote ,ikitokea spurs wakapata sare dhidi ya Norwich basi itabidi Arsenal washinde magoli 16 kwa bila dhidi ya Everton
Arteta is just a Manager and not owner of this club......Arsenal signing policy has not changed since Wenger eraYou also have to stop your shit, kwanini dirisha dogo hakuimarisha kikosi
Wa kulaumiwa ni wewe kwa sababu haujui malengo ya timu.Mkuu hao players tulionao wametuweka kwenye hii position but my question is kwa nini ups and down wakati wa kutafuta matokeo muhimu?nani wa kulaumiwa?
May be inawezekanaWa kulaumiwa ni wewe kwa sababu haujui malengo ya timu.
Kwa mashabiki wengi wa Arsenal kushiriki Europa ni mafanikio makubwa sana kwa timu yao.
Siku nyingi hua nakuambia wewe kwa IQ yako ilivyo kuendelea kuishabikia Arsenal ni kuutia maumivu tu moyo wako bila ya sababu ya msingi.
Hata hili kombe alilolibeba Arteta ni mafanikio makubwa sana kwa mashabiki wa Arsenal. View attachment 2227436
Naona Arsenal wanaendelea tu kugawa utamu kwa ile style ya "Airtel wezi wa bando"Sisi tunataka mukasirike Yani ile kiasi ukipewa wembe unameza
Hao hao wachezaji unaowadharau wamezifunga Manchester United Chelsea West Ham in a row it means wachezaji ni wazuri wakiamua kuplay good game hii ups and down why inatokea mara kwa mara why?
About psychology? Which psychology?Kuna some fans mnatetea ujinga wa Coach bila sababu hao mnaowaita rubbishplayers wametuweka 5th position up to now but kuna kitu wamekikosa toka kwa Manager zimebaki 3 games kuqualify championsleague why team ianguke namna hii?mind ya wachezaji toka kwa coach ilikuwa ni nini?angalia rivals wetu game ya Liverpool and Arsenal wamepata 4 points sisi 0 points sometimes ni psychology inatakiwa kwa players toka kwa wakubwa bahati mbaya haikwepo na tumeanguka kama mzoga
maybe he convinced the owners not to buy because he trusted his squad, that is why I have a bitter attitude towards himArteta is just a Manager and not owner of this club......Arsenal signing policy has not changed since Wenger era
Arsenal team Owners must change their signing policy on average players
Juzi Wolves kwake kashindwa kumfunga NorwichNorwich keshashuka daraja wewe anakamilisha ratiba tu,, nyie mbuzi mjiandae Europa tu