Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Msiwe wachoyo wa shukrani, kwa kikosi cha Arsenal na Arteta alivyoweza kukibadilisha, jamaa ni genius.

Msimu ujao nimesikia mnamuwania Jesus, Tielmans na Dybala. Amini mkuu mkiwapata hawa watu mtaleta sana ushindani.
 
Hayo majina hakuna hata mmoja atakayekuja HAKUNA some supporters wanafurahisha Jukwaa tu wewe kwa akili zako timamu unaona kati ya hao who will come to play for us ?NO ONE
 
Pale kuna mchezaji gani hadi umlaumu arteta? Mpira unataka kuweka hela kwenye quality players
 
Yaani Arsenal hawajui umuhimu wa games zao to the extent hawana tofauti na Sparta ya kwa Kopa.

Two nil against Newcastle? Hii timu ndiyo ingeenda champions league kweli? Timu ina watu wasiokua hata na desire?

Upuuzi mtupu huu

Very surprised, lakini ndivyo walivyoaandaliwa na profesa Arteta
 
Pale kuna mchezaji gani hadi umlaumu arteta? Mpira unataka kuweka hela kwenye quality players
Hao hao wachezaji unaowadharau wamezifunga Manchester United Chelsea West Ham in a row it means wachezaji ni wazuri wakiamua kuplay good game hii ups and down why inatokea mara kwa mara why?
 
Yaani Arsenal hawajui umuhimu wa games zao to the extent hawana tofauti na Sparta ya kwa Kopa.

Two nil against Newcastle? Hii timu ndiyo ingeenda champions league kweli? Timu ina watu wasiokua hata na desire?

Upuuzi mtupu huu
Mpira unataka quality players na pale arsenal wachezaji wote wa kawaida sana.
 
🚩 Arteta Worst Stats πŸ‘‡

πŸ“ Manager of the Month:

❌ Arsenal 1:2 Man City
❌ Nottingham 1:0 Arsenal
❌ Arsenal 0:2 Liverpool

🚩 Manager of the month (2nd time)

❌ Crystal Palace 3:0 Arsenal
❌ Arsenal 1:2 Brighton
❌ Southampton 1:0 Arsenal

🚩 Rewarded with a contract

❌ Tottenham 3:0 Arsenal
❌ Live: Newcastle 1:0 Arsenal

πŸ“ Arteta hate it, when you praise him, he always respond with defeat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…