Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nilishawaambia tokea mwanzo na leo nawakumbusha tena.#Repost @arsenalbongo_
——
Tuna kifainali kidogo leo [emoji739] Newcastle.
Ni mechi ya kawaida ukilinganisha na thamani ya ushindi wake, tukishindwa na hii basi, top 4 tuwaachie wenye uwezo.
[emoji790] Saa 04:00 usiku
[emoji2522] St. James' Park
[emoji469] Darren England
[emoji471] EPL 37/38
Nilishawaambia tokea mwanzo na leo nawakumbusha tena.Yes we need to win those 2 games ila kesho tusipopata 3 points itakuwa it's over
Huna jipya wewe, unachange team kila siku, ulianza tangu kwenye game ya Man u, Chelsea,westham,Leeds na saiz unaendelea Kwa team zilizobakiaNilishawaambia tokea mwanzo na leo nawakumbusha tena.
Katika mechi zenu 3 za mwisho wa ligi mkijitahidi sana mtapata point 2 au 3 ila kuna uwezekano mkubwa mkaambulia point 1.
Mchezaji gani ambaye ni shoga
Atashikishwa ukuta baba ako hebu kafir..we huko acha shobo na timu za wanaume.Timu yenye wachezaji mashoga, leo lazima mshikishwe ukuta.
Mbona mafans wa Arse mna hasira sana, kisa nini na leo mnashindaAtashikishwa ukuta baba ako hebu kafir..we huko acha shobo na timu za wanaume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanajua michezo ya waarabu wa Newcastle watakayo enda kufanywa ukujumlisha na kuikosa top4 lazima wawe wakali.Mbona mafans wa Arse mna hasira sana, kisa nini na leo mnashinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona unaanza kutetemeka mapema?Hawa jamaa wanacheza 4 3 3 bwana
Mchezaji gani ambaye ni shoga
We jamaa hautakuja kuelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona unaanza kutetemeka mapema?