Gabriel Jesus amekubali kuja kucheza Arsenal bila kujali inacheza mashindano ya ulaya au AfrikaKwa sasa hata utoe uchambuzi wa kina Gary Neville, timu yetu haina uwezo wa kusajili high profile players. Hata huyo Jesus, tukishindwa kukwolify CL hutamuona. Wewe unayejua tactics tuambie nani atakubali kuja kucheza europa league na profile yake inayoeleweka.
So partey & Auba walifuata Ucl Arsenal?Kwa sasa hata utoe uchambuzi wa kina Gary Neville, timu yetu haina uwezo wa kusajili high profile players. Hata huyo Jesus, tukishindwa kukwolify CL hutamuona. Wewe unayejua tactics tuambie nani atakubali kuja kucheza europa league na profile yake inayoeleweka.
No need to waste energy, no one cares about his hypernegativityGabriel Jesus amekubali kuja kucheza Arsenal bila kujali inacheza mashindano ya ulaya au Afrika
In short ame accept project yetu,na hii ndo inatakiwa kupata mchezaji ambaye yupo willingly kuja kucheza ktk timu yetu
Kilichobaki ni fee agreement na timu yake tu.......ila kwenye kipengele hiki arsenal huwa tunapoteza muda sana na inatokea timu nyingine faster wanapita nae
Do I care about your analysis Mr much-know? You can choose to ignore my opinion, it won't harm you a bit.No need to waste energy, no one cares about his hypernegativity
Ngoja tuone kama huyo Jesus atakuja endapo tutafeli kukwalify CL.Gabriel Jesus amekubali kuja kucheza Arsenal bila kujali inacheza mashindano ya ulaya au Afrika
In short ame accept project yetu,na hii ndo inatakiwa kupata mchezaji ambaye yupo willingly kuja kucheza ktk timu yetu
Kilichobaki ni fee agreement na timu yake tu.......ila kwenye kipengele hiki arsenal huwa tunapoteza muda sana na inatokea timu nyingine faster wanapita nae
Uone na nani? We are not here to prove a point. Ego itakuua chalii.Ngoja tuone kama huyo Jesus atakuja endapo tutafeli kukwalify CL.
So analysis zinakuumiza, try if you canDo I care about your analysis Mr much-know? You can choose to ignore my opinion, it won't harm you a bit.
Ni kawaida ya Mawakala kutoa maneno yenye mvuto huku anapima timu zingine zitakuja na ofa ipi kwa sasa players wote na mawakala wao wanasubiri Ligi ziishe then waje na decision making bado mapema sana hata Jesus hajasema kitu up to now hata Tielemans pia kama Arsenal akiqualify ChampionsGabriel Jesus amekubali kuja kucheza Arsenal bila kujali inacheza mashindano ya ulaya au Afrika
In short ame accept project yetu,na hii ndo inatakiwa kupata mchezaji ambaye yupo willingly kuja kucheza ktk timu yetu
Kilichobaki ni fee agreement na timu yake tu.......ila kwenye kipengele hiki arsenal huwa tunapoteza muda sana na inatokea timu nyingine faster wanapita nae
Mkuu, mpira tunashabikia wote, I'm not here to prove a point coz I don't benefit anything other than supporting the club I love.Uone na nani? We are not here to prove a point. Ego itakuua chalii.
Zinaniwekea ugali mezani analysis zako mzee, are you nuts?So analysis zinakuumiza, try if you can
Unajua kuna kitu nashangaa kuhusu huyu kijana! ...au basiBro, acha kujifanya unanijua kuliko mm nnavojijua. Huo usaili ww ndo ulniombea hy kazi.?
Sasa unaposema ngoja tuone kama Jesus atakuja without CL una maana ipi kama sio kuprove a point?Mkuu, mpira tunashabikia wote, I'm not here to prove a point coz I don't benefit anything other than supporting the club I love.
Sijui kwa nini mtu akiandika kitu hakikufurahishi lazima um-attack kwa maneno ya karaha. I don't like it and I've chosen to ignore your posts, mda sana!
Now if you don't mind, choose to ignore mine too.
Ona sasa, so tuongee mambo ya ugali kwenye uzi wa Arsenal, humu ni uchambuzi tu, ukiumia unazima dataZinaniwekea ugali mezani analysis zako mzee, are you nuts?
Hajitambui huyoUnajua kuna kitu nashangaa kuhusu huyu kijana! ...au basi
Ivan toney ni bora kuliko LewandowskiHata Arsenal ndoto yao sio kuwa na Lewando that's why wanasumbuka na Jesus, ukiuelewa mpira tactically utagundua Ivan toney ni bora kuliko Lewandowski kwenye hii Arsenal team.
Profile, profile, profile, profile wazee, sio tu ukiwa na quality basi unasajiliwa.
Sio kosa lako, nyumbu akili ndogo, soma tena uelewe kilichoandikwa.Ivan toney ni bora kuliko Lewandowski
Kupata kichekesho kingine kama hiki unabonyeza ngapi?
Sio kosa lako, nyumbu akili ndogo, soma tena uelewe kilichoandikwa.
YAANI LEWA AJE KUCHEZA NA VITOTO HIVYO..NIMEKUDHARAU SANA AISEE.Why Arsenal tusipeleke ofa Robert Lewandoski?tena fee haitakuwa kubwa why?tukiqualifychampions league tumsign best striker in the worldatatupa Big trophieshuyu