Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wako mguu sawa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 25 kama 'the Gunners watashindwa kufuzu michuano ya Ulaya.
Kwanza nguvu za ku comment unapata wapi , una GD 1🤣🤣hivi wewe tokea upate akili timamu unaweza kuniambia ni lini Arsenal alisajili?
Nyinyi hua mnaokota takataka zilizomaliza mikataba na timu zao au mnapewa watoto muwakuze kwenye hio Academy yenu kisha wakikua wanaenda kucheza mpira kwenye timu zinazojielewa.
Halafu hayo mawazo ya kushiriki CL msimu ujao futa kabisa kichwa kwako.
Kwa masikitiko makubwa nikwambieFive players under the age of 23 have all registered at least 10 goals & assists for Arsenal this season: Bukayo Saka (20), Emile Smith Rowe (21), Martin Ødegaard (23), Gabriel Martinelli (20), Eddie Nketiah (22).
We can rely on the kids after all… the future is bright…#afc
View attachment 2217333
Kwa masikitiko makubwa nikwambie
Bukayo Saka na Gabriel Martinelli msimu ujao wanaenda Newcastle,
Emile Rowe na Ødegaard nao kuna club zinazojielewa tayari zimeshatenga fungu nono nyinyi mtabaki na Nketiah aendelee kupata uzoefu kwenye hio Academy yenu.
Manjesta sijui wanapata wapi muda wa kukaa mtandaoniKwa masikitiko makubwa nikwambie
Bukayo Saka na Gabriel Martinelli msimu ujao wanaenda Newcastle,
Emile Rowe na Ødegaard nao kuna club zinazojielewa tayari zimeshatenga fungu nono nyinyi mtabaki na Nketiah aendelee kupata uzoefu kwenye hio Academy yenu.
Ndio maana nikakwambia timu lenu linatambulika kama Academy sport club.Five players under the age of 23 have all registered at least 10 goals & assists for Arsenal this season: Bukayo Saka (20), Emile Smith Rowe (21), Martin Ødegaard (23), Gabriel Martinelli (20), Eddie Nketiah (22).
We can rely on the kids after all… the future is bright…#afc
View attachment 2217333
Hamna uweza wa kumfunga spurs nyinyi narudia tena huenda hamjasikia vizuri uwezo wa kumfunga spurs hamna, sijui mmenielewa lakin?Kuna mtu tunamfukuzia kimya kimya, tukipiga huyo Tottenham wao wataanza kuelewa
Kama nyie huo uwezo hamna usitusemee, na akipigwa uwepo uwepo hapa hapa sio unapotea Alhamis sio mbali, atakayekuelewa ni yule aliyevimbiwa kiporo, kwa anayekua anasubiri Alhamis ifke dk 90 ziamueHamna uweza wa kumfunga spurs nyinyi narudia tena huenda hamjasikia vizuri uwezo wa kumfunga spurs hamna, sijui mmenielewa lakin?
Njia nzuri zaidi ni kumfunga spurs, sio kukaa kaa na presha.To qualify for the UCL:
-Beat Spurs on Thursday
-Draw vs Spurs and beat either Newcastle or Everton
-Lose vs Spurs and beat both Newcastle and Everton
*this is assuming Spurs beat Burnley & Norwich
Newcastle-Very strong opponent due to their recently performance
Everton-Defeat us at Emirates and now in relegation danger..... They give blood and tears to their remaining games
Spurs-It is a Cup final for us,like a champions league final
Wale ni kenge.Vlahovic & Locatelli walikosea sana, especially Vlahovic.
Kama tielemans anakuja akichezq na partey hapo kati si mchezo..Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wako mguu sawa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 25 kama 'the Gunners watashindwa kufuzu michuano ya Ulaya.
Upo sahihi. Kati ya Holding na Gabriel hakuna wa kugawa mipira kama White, Gabriel anajitahidi katika hilo ila shida ni kwamba yeye ni left footer, mara nyingi left footers hua hawawezi kugawa mipira kama right footers.Game na spurs tunamuitaji white kwa ajiri ya kuwa na chumba kingine cha kuanzisha mashambulizi holding wakiwa na Gabdiel wanauwezo mdogo sana wakuanzisha mashambulizi na accuracy pass zao sio kwa aslmia 100 ni aslmia 60-70 tu
Hizi chapati ndiyo hua nasema hazina kumbukumbu.Hamna uweza wa kumfunga spurs nyinyi narudia tena huenda hamjasikia vizuri uwezo wa kumfunga spurs hamna, sijui mmenielewa lakin?
😂😂😂How?Sasa si ukavune hizo pesa na hao wenzako laki tano