Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wako mguu sawa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 25 kama 'the Gunners watashindwa kufuzu michuano ya Ulaya.
 
Possibilities...!
We'll beat spurs and secure a UCL spot on their ground!
 
Arsenal inakaribia kukamilisha uhamisho wa £40m wa kiungo mbelgiji wa Leicester Youri Tielemans lakini Real Madrid wako mguu sawa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 25 kama 'the Gunners watashindwa kufuzu michuano ya Ulaya.
Huyu Youri labda aje kubadilikia Arsenal ila mi naona bado ana kazi ya kufanya
 
Anticipated chemistry
 
📈 Most G/A this season for Arsenal:

18 - Saka (12 goals, 6 assist)
14 - Lacazette (6 goals, 8 assist)
13 - Smith Rowe (11 goals, 2 assist)
11 - Ødegaard (6 goals, 5 assist)
10 - Nketiah (9 goals, 1 assist)
9 - Aubameyang (7 goals, 2 assist)
9 - Martinelli (5 goals, 4 assist)

Saka akicheza chini ya kiwango ,tegemea mech ijayo kukiwasha hatari

Leo alikuwa vibaya ,

Namsubiri dhidi ya Totenham
 
Saka akicheza chini ya kiwango ,tegemea mech ijayo kukiwasha hatari

Leo alikuwa vibaya ,

Namsubiri dhidi ya Totenham
Jidanganyeni tu, Spurs ilipofikia sasa ni habari nyingine, muulizeni liverfool anaujua mziki wake vizuri sana.
Mechi mlizobakiza ni Spurs, Newcastle na Everton vyote hivyo ni visiki vya mpingo hapo mkijitahidi zaidi ya uwezo wenu mtaambulia point 3 ila sanasana hapo naona mna point 1 tu.
Spurs mechi alobakiza ni Vs Arsenal, Burnley na Norwich, hapo amekosa sana ana point 7 baada ya kudraw na nyinyi lakini kuna uwezekano mkubwa akaondoka na point zote 9.
hizi ng'ombe za Emirates kucheza Uefa ni baada ya miaka 10 mbele huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…