Warra trophy for leedsAttempts 10 goli 2
Attempt 1 goli 1
Vipi nyumbu jana
Ukutane europa na nani?nyumbu ile level nyingine.
AsanaAli kufikia level ya nyumbu inahitaji miaka 20 mbele.
Tukutane Europa msimu ujao.
Kumpita chelsea sahau hata ukishinda leo bado upo chini ya chelsea na chelsea game zijazo hatapoteza atashinda zote. The take over tayari hawana wasi wasi wa timu kushushwa kwa sheria tena
Tulia nyumbu.Attempts 10 goli 2
Attempt 1 goli 1
Tokea lini AsaniAli anasajili?Wanamtoa West Ham ana michezo mitatu anahitaji ashinde miwili tu ,GD man u 1 , westham 11
Raphinha nilikuwa nampenda ila nimegundua sio mchezaji wa kucheza Arsenal, ana quality, hana character. Wachezaji wenye big ego pale timu inapofanya vibaya lazima wakukimbie au watengeneza toxic environment kama Alexis Sanchez.
Ukutane europa na nani?
Nyinyi mnaenda conference league
Ana vidalili dalili ila hanishawishi badoNketiah anatuadaa ili tumpe imani then tujute.
Ila kwa current matches his performance is so brilliant.
Of coz taka taka haziendi ndiyo maana haupo ndani ya top 4acheni kupanic Uefa hua haziendi takataka, kule zinatakiwa timu zenye kujielewa.
Mkienda nyie matakataka mnaishia kwenye mchujo wa magroup.
Jibu zuri sana umempaOf coz taka taka haziendi ndiyo maana haupo ndani ya top 4
Man u ajitahidi mechi ya mwisho ashinde japo sidhani kama anashinda ile game aisee.Naona West ham wanataka kumtoa man u pale alipo aendo conference league😁