Timu inahitaji striker mmoja mwenye njaa, midfielder mnyumbulifu, timu inabidi arteta awaongeze wachezaji morali ya kusaka matokeo, sijui ni sababu ya utoto, naona kuna kitu kinakosekana hapa uwanjani

Timu yetu hili ndio tatizo kubwa game simple kama hii tunakaa roho juu juu players wetu ndio hawa tunawajua sometimes wanajituma sometimes wanakuwa wazembe after red card no maajabu tena

halafu hili timu kwa wachezaji wa sample hii ndio unalipeleka CL.
Timu inayojielewa kama Brighton kwa nafasi mlizozipata nyinyi ingekua imeshafunga magoli 10.