Hii inatoka kwa kinabo tuliyempiga 4 - 2.
Hapa ni mawili ama huna akili au hauna kumbukumbu.
Huyo spurs unayesema tukikutana naye mara ya mwisho tunakutana kafa 3 na pale ilikua tuna tabia tukishinda tunarudi nyuma.
Huyo spurs game ya kwanza na liva kasuluhu na tukaona kweli kaimprove. Wiki mbili mbele anatolewa conference league.
Conference league.
Wewe eti unamuwazia awe uefa. Wewe ni kichaa?