Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liverpool Ndoo Timu Inayoongoza Ufungaji Wa Magoli Ya Kona Msimu Huu.


Arsenal Ndoo Timu Ambayo Haijaruhusu Goli Lolote La Kona Mpaka Sasa.

Arsenal Wamepigiwa Kona Zaid Ya 156 Na Hawajaruhusu Goli Lolote.
👇🙌

 
Arteta msimu huu alimleta huyu jamaa kwa kazi hii tu ya set pieces , Hili lilikuwa tatizo kubwa ,

Kwasasa Epl inasajiri wataalam wakila eneo ,

188 corners faced in all competitions so far this season.

0 goals conceded.

Nicolas Jover, take a bow



 
Eddie Nketiah anazidi kuwa bora, Eddie Jana Eddie alionesha uwezo mkubwa sana na anajenga kujiamini now, nilipenda anavyodrop kwenye build up phases analink na kuhold play vizuri ila problem anakosa technical security akicheza pass zake na anakosa ball striking nzuri, physically yupo vizuri sana coz unamuona anapress reliably na anawin duels mbele ya Zuma, the boy deserves new contract.
 
Unpopular opinion; Interview aliyofanya Lacazette imemuharibia mahusiano yake na Technical bench, kwa hali ilivyo sasa hakutakiwa kukaa bench, No matter what!
 
Kama tunahitaji ku move on , Eddie aende tu, zile nafas anabak na zuma , mtu Kama Gabriel Jesus hakuachi

Naiman Arteta hawez kuendelea naee msimu ujao ,
 
Unpopular opinion; Interview aliyofanya Lacazette imemuharibia mahusiano yake na Technical bench, kwa hali ilivyo sasa hakutakiwa kukaa bench, No matter what!
Nikweli ndio kinachomuweka bench ,Aliongea na media , Arteta akamwambia anashindwa kufocus na team analeta maneno ,

Ila Pep ana misimamo , ila naanza kuona Arteta kazid , hajali atapoteza mech au vipi , ukizingua unakula mkeka wa maana

Ujue hata gemu na Chelsea Laca alikuwa fit ila Arteta hakujali akaanza na nketiah ,

Arteta ana roho Ngumu sana huyu mtu,
 
Kama tunahitaji ku move on , Eddie aende tu, zile nafas anabak na zuma , mtu Kama Gabriel Jesus hakuachi

Naiman Arteta hawez kuendelea naee msimu ujao ,
Nakubali, baadhi ya wachezaji wapo nyuma ya project. Eddie akienda Palace/ Brighton anaweza kuwa mkubwa coz kuna makocha wazuri kwenye hizi timu.
 
Arteta mjanja, kuna wachezaji kawaondoa sababu ni toxic, wengine sababu za kiufundi, ila kuna watu kawaondoa sababu walikuwa na nguvu kuliko yeye hapa namuweka Auba. kocha ili ufanikiwe unahitaji kusikilizwa kuliko mtu yoyote, kama Barcelona kumuondoa Messi baadae wakamleta Xavi ili awafundishe Pedri, Gavi & Puig.
 
Haya ndo mambo sasa asenali habari ya mujini. Sasa zile mechi 3 aisee dah, si tungekuwa tunaongea habari nyingine sasa? Anyway twende kazi
 
Ila jamaa jasiri sana , huwa hajari kapoteza , hataki kwenye timu wewe ndio uwe na nguvu kuliko wewe, anataka respect ,na kujitoa asilimia zote
 
HUYU JAMAA HUWA NAMKUBALI SANA

MAN U WANAMFUKUZIA SANA ,

Frenkie De Jong to Voetbal International in 2019:


“I actually thought Arsenal was pretty beautiful in the past. In my mind, I have had the following list for a long time - Ajax, Arsenal, Barcelona. Call it the Marc Overmars route.”

 

🚨 || Arsenal and United are both heavily interested in signing Monaco Midfielder, Aurélien Tchouaméni. The player would be interested in playing in the Premier League [Via - @DiMarzio].
Huyu jukwaa la liverpool wanadai anakwenda anfield
 
Huyu dogo hapana mkuu. Acha aende tu
 
Huyu dogo hapana mkuu. Acha aende tu
Huyo aende tu kwakweli, mm bado naona hatoshi , Jana angekuwa na akili ya kucut in au skills angemlaza na viatu yule Zuma,

Hapa ndipo ninapoona tunahitaji upgrade ya Nketiah na Lacazette
 
kwa hiyo tuachane nae maana hatuwezi kushindana na hawa kuku kwenye usajili kwa sasa. Tutafute cazorla flani south america huko
Hapana inategemea na vitu ving kwenye usajiri, Kuna kuhakikishiwa nafas, mshahara , n.k

Mm namkubali sana Ruben nevess,

Tieleman wa Leicester bila mpira hakabi , Amekuwa na tatizo Hilo ,

Kwasasa tukipata kiungo mwenye work rate kubwa ,anaye drive timu mbele , basi tutapiga hatua ,
 
Unpopular opinion; Interview aliyofanya Lacazette imemuharibia mahusiano yake na Technical bench, kwa hali ilivyo sasa hakutakiwa kukaa bench, No matter what!
Niliikosa hii mkuu. Laca aliongea na nani akasema nini? Aaron saidia hapa pia kujazia nyama.
 
Huyu dogo hapana mkuu. Acha aende tu
Huyu dogo Arsenal wasije wakajidanganya wakampa mkataba mpya , kwasasa timu inatakiwa isukwe na watu wapambanaji ,Kama Odegaard vile,

Ambao wapo Tayar kuacha asilimia 100 uwanjani,

Iwapo Arsenal watajiroga kumpa mkataba nketiah ,Ni waz watasajiri forward mmoja , matatizo yataanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…