Naomba niweke sawa kidogo.One word bro Castr MIRACLE kwa game zilizobakia game ni 1 vs Tottenham Hotspur basi other games ni players wenyewe sioni Arsenal akipoteza those 3 games ukiachana na ya spurs MIRACLE and congratulations all Arsenal fans in the worldkwa kuqualify kwenye Europe competition (Europa league)football is blood of hell tumelose 3 games na then tumewin 3 games tena vs Manchester United Chelsea and West Ham kwa kweli hata kama sisi blood fans wa Arsenal na tupo against Arteta but nampa sifa zake kwa kweli sio muda wote wa kumkataa coach kwa hili ametuprove wrong wengi sana naanza kumpa 70 percent ya uaminifu na akipewa hela akasajili two strikers na viungo hata wawili na beki 2 na 3(hawa wanahitaji replacement coz waliopo muda wote hospital) may be may be tutaanza kuchallenge something kumfunga Manchester United Chelsea and West Ham in a row ni kitu kigumu sana but my team imefanya hivi ni MIRACLE COYG Castr
Nawatag Aaron Arsenal Will Jr Insigne Anigrain hawa jamaa walikuwa wanamuamini coach muda wote na sisi ambao tupo against Arteta tunasema kazi iendelee ameonyesha kuna kitu anacho kwenye akili na ameanza kutuprove wrong nilikuwa napa asilimia 20 now 70 kabisa na zitaongezeka tukifuzu champions league na hata asipofuzu kwenda Europa league si mbaya sana ila tutakuwa tumekosa mvuto kwa Big players ila for the sake ya timu yetu kufuuzu Europe competition ni raha sana Congratulations guys keep it up
Mimi sijawahi kumuona Arteta kilaza, nafikiri nilikua naongoza kukutajia big six aliowapiga, ila kutosajili January ndiyo nikaona katuchimbia shimo.