..with the least amount of games that we've drawn, tuna draw 3 tu. Great achievement lads, I was so sceptical a few weeks ago.Arsenal currently have the third most wins in this Premier League season. Crazy stat.
Arsenal have now won 20 Premier League matches this season, only Manchester City (26) & Liverpool (25) have more wins.
Tuongee ukweli tu, hakuna dalili ya ushindi kwenye hii game.
Kabisa game tatu mfululizo za mwanzo na za mwisho hapa sababu kama zinafananaUkifatilia na kuchunguza vzr utagundua Mech hizo 3 na zile za Kwanza ligi inaanza ,Kuna factors zimesababisha hizo
Moja kuchelewa kufanya usajiri
Mbili ufinyu wa kikos
Hizo mech Ni ponts 18 , imagine tungevuna point. .12-15
Tulikuwa kwenye race ya ubingwa
Hizo factors 2 zikifanyiwa kaz tuta step up hapa tulipo
Kuumia kwa Partey na Kieran ,ikaharibu mipango na kupoteana mech 3 ,
Tungekuwa na kikos kipana anaumia Partey na Kieran ,unaweka watu wenye Quality kama yao tungekuwa mbali zaidi
Hizo factors ndizo zinamfanya leo Liverpool na man city wapiganie ubingwa
Kiongozi Granit Xhaka ni engineer katika engineering team ya software na technology company hawa watu ni unreplaceble mara nyingi hata wakishindwa kudebbug issue kwa wakati.
Lembua adhibitiwe. Atajinyonga yule jamaa lembuKuna lembua alisema game zilizobak ,hatutazid point 6
kuna siku nilikuquote kwa kusema you are far better than me in football ukashangaa kwa kubisha.Ila kwa coment yako simply unathibitisha how legendary matured you are.computerarsenal at one point tulikua na wasiwasi na timu kuingia top 4. Mimi shida yangu ilikua kutosajili kiungo hili dirisha la january na wewe ilikua ni kumuona kocha mbovu.
Nafikiri tunatakiwa kujifunza na kukiri kwenda chaka hata ambangile anatakiwa akiri pia maana alidai hamuoni wa kumfunga chelsea.
Anyway, nataka kusema kwamba kocha amejitahidi kuziba gapes ambazo zilitakiwa kua exposed na kutosajili. Computer najua na wewe utaona wapi ulienda chaka.
Kuhusu Ramsdale na wengine msimamo haujabadilika, nina imani na kocha kuliko baadhi ya wachezaji.
One word bro Castr MIRACLE kwa game zilizobakia game ni 1 vs Tottenham Hotspur basi other games ni players wenyewe sioni Arsenal akipoteza those 3 games ukiachana na ya spurs MIRACLE and congratulations all Arsenal fans in the worldcomputerarsenal at one point tulikua na wasiwasi na timu kuingia top 4. Mimi shida yangu ilikua kutosajili kiungo hili dirisha la january na wewe ilikua ni kumuona kocha mbovu.
Nafikiri tunatakiwa kujifunza na kukiri kwenda chaka hata ambangile anatakiwa akiri pia maana alidai hamuoni wa kumfunga chelsea.
Anyway, nataka kusema kwamba kocha amejitahidi kuziba gapes ambazo zilitakiwa kua exposed na kutosajili. Computer najua na wewe utaona wapi ulienda chaka.
Kuhusu Ramsdale na wengine msimamo haujabadilika, nina imani na kocha kuliko baadhi ya wachezaji.
MaturedOne word bro Castr MIRACLE kwa game zilizobakia game ni 1 vs Tottenham Hotspur basi other games ni players wenyewe sioni Arsenal akipoteza those 3 games ukiachana na ya spurs MIRACLE and congratulations all Arsenal fans in the worldkwa kuqualify kwenye Europe competition (Europa league)football is blood of hell tumelose 3 games na then tumewin 3 games tena vs Manchester United Chelsea and West Ham kwa kweli hata kama sisi blood fans wa Arsenal na tupo against Arteta but nampa sifa zake kwa kweli sio muda wote wa kumkataa coach kwa hili ametuprove wrong wengi sana naanza kumpa 70 percent ya uaminifu na akipewa hela akasajili two strikers na viungo hata wawili na beki 2 na 3(hawa wanahitaji replacement coz waliopo muda wote hospital) may be may be tutaanza kuchallenge something kumfunga Manchester United Chelsea and West Ham in a row ni kitu kigumu sana but my team imefanya hivi ni MIRACLE COYG Castr
Nawatag Aaron Arsenal Will Jr Insigne Anigrain hawa jamaa walikuwa wanamuamini coach muda wote na sisi ambao tupo against Arteta tunasema kazi iendelee ameonyesha kuna kitu anacho kwenye akili na ameanza kutuprove wrong nilikuwa napa asilimia 20 now 70 kabisa na zitaongezeka tukifuzu champions league na hata asipofuzu kwenda Europa league si mbaya sana ila tutakuwa tumekosa mvuto kwa Big players ila for the sake ya timu yetu kufuuzu Europe competition ni raha sana Congratulations guys keep it up
Am not better than anybody in here in anything. Wote tunashare observations zetu bila kujali how wrong they are. Kwahiyo funguka kila unachoona mkuu.kuna siku nilikuquote kwa kusema you are far better than me in football ukashangaa kwa kubisha.Ila kwa coment yako simply unathibitisha how legendary matured you are.
we learn from your thick and thin contribution as arsenal fans.big up mkuu