Ukicheza kibrazamen na timu kama Westham anakushut moja, anapiga low block na counter za hapa na pale.Kweli ndugu, ulisema Bora tucheze vby ,kwasasa muhimu 3 points
Confirmed: Arsenal have qualified for the Europa league next season.
Hapo sijamaanisha mimi nipo sahihi namaanisha wachezaji wanajengewa spirit ya kupambanaWewe sio unaongea tu uonekane kila muda uko sahihi.
Ukiacha magoli tuliyopata kwa corner, kulikuwa na mpango gani mwengine wa ushindi zaidi ya kuzuia?
Liverpool anaenda kutusaidia , ninewaangalia totenham , wanachokifanya Ni counter tu, kumiliki mpira sio wazuri sanaWe are doing fine.
Leicester kazi kaishindwa.
Leeds akiishindwa basi haina budi kuivaa kazi ya kumdhibiti Spurs.
Kikosi hichi ni average mno.Amini wahuni tunarudi UEFA, kocha kapambana sana, kwa timu hii oya mwamba anajua sana.
Likizo yako itachukua siku ngap, ili urud tena humu. Kulaleki ndo sisi aoocomputerarsenal upo wapi ndugu yangu?
Njoo uwachambulie mpira hawa chawa wa Arteta, wewe kila unapojitahidi kuwaonyesha madhaifu ya timu pamoja na kocha wao hua wanajifanya kuziba masikio.
Yea siku hizi wana mpira fulani ambapo wakiupata mpira unashangaa timu nzima inatembea kuja mbele.Liverpool anaenda kutusaidia , ninewaangalia totenham , wanachokifanya Ni counter tu, kumiliki mpira sio wazuri sana
Leeds ndan ya Emirates tumpige, Liverpool atusaidie tupae kwa point 5 Zaid
Fixtures ya Chelsea ,Kuna game had 2 anaweza kuvutwa shat
We nyumbu umemuona Mbowe na umeiona Arsenal?
Acha shobo kama ulijua tunacheza vizuri stori za mbowe ulikua unazileta za nini?sio siri tokea mzunguko wa pili wa ligi ulivyoanza mnajitahidi sana kucheza vizuri na timu kubwa za ligi.
Mkiendelea na mwendo huuhuu mpaka mechi ya mwisho ndio mtajihakikishia kucheza Uefa, ila mkizingua hata mechi moja tu katika hizo 4 zilizobaki mtakuja kuungana na nyumbu kwenye Futuhi za jumatano na alhamisi.
Kikubwa point tatu, kuwe na mipango au hakuna mpango, kuzuia ni sehemu ya mpira piaWewe sio unaongea tu uonekane kila muda uko sahihi.
Ukiacha magoli tuliyopata kwa corner, kulikuwa na mpango gani mwengine wa ushindi zaidi ya kuzuia?
Nyie nyumbu tunawaachia vita yenu na West Ham mpambanie nafasi ya 6 na ya 7😁sio siri tokea mzunguko wa pili wa ligi ulivyoanza mnajitahidi sana kucheza vizuri na timu kubwa za ligi.
Mkiendelea na mwendo huuhuu mpaka mechi ya mwisho ndio mtajihakikishia kucheza Uefa, ila mkizingua hata mechi moja tu katika hizo 4 zilizobaki mtakuja kuungana na nyumbu kwenye Futuhi za jumatano na alhamisi.
Kikosi hichi ni average mno.
Benchi ndiyo less than average lakini mtu unamtishia nyumbu unampiga na unampiga kweli, unamtisha Flano Westham haponi na haponi kweli.
Nyumbu hata akishuka daraja msimu huu ni haki yake.Nyie nyumbu tunawaachia vita yenu na West Ham mpambanie nafasi ya 6 na ya 7
Wewe huoni dalili. Fumbua macho hayo mkuuHuyu Tavares anaigharimu timu sana anafanya makosa mengi sana kuanzia game ya chelsea,man utd na game ya leo ya west ham sijui kwanini arteta anampanga hata kama tierney majeruhi angetafuta mchezaji yyte acheze,sioni dalili ya kutoboa top 4 makosa ni mengi sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣computerarsenal upo wapi ndugu yangu?
Njoo uwachambulie mpira hawa chawa wa Arteta, wewe kila unapojitahidi kuwaonyesha madhaifu ya timu pamoja na kocha wao hua wanajifanya kuziba masikio.
isajorsergioGranit Xhaka kumreplace sio kitu kidogo, huyo midfielder atayekuja ana kazi ya kufanya.