Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wachezaji Kama hawa Ni Kama Alonso wa Chelsea , hawajui kukaba kabisa , uzuri wa Alonso anajua kupiga na kufunga ,Tavares ana pace ila haitumii kumsaidia kukaba yeye anaitumia kuestablish presence yake kwenye box la mpinzani.
Leo natema nyongo kidogo hehehe. Aise sipendi kabisa watu wakitumia ubakaji kama kuonesha ushindi wa mpira. Sipendi yani acha kabisa. Naona ni kama watu wanabeza rape na rape ni serious issue siyo ya kufanyia mzaha.Alibakwa nne kavu.
Anakua kama Achraf Hakimi. Madrid walimuacha Hakimi kwa sababu hiziArteta juz kasema Tomiyasu anaweza pia kucheza LB ,hivo tusishangae Leo akaanza Kama LB maana tavares bado hajaimarika, dogo angekuwa Makin mech ya Chelsea angefunga, mech ya man u angetoka na goli 2
Huyu naona Ni mzuri akicheza Wingback , maana kukaba Ni mbovu sana , kushambulia anaweza , kwenye kushuti mbovu
Kuna vitu anahitaji abadilike
huyu dogo anahitaji extra sessions mazoezini kwenye finishing na defending. Ana mbio na mapafu ya mbwa kama kante, atakuja kuwa mkali sana akifocus kwenye hizo idara.Wachezaji Kama hawa Ni Kama Alonso wa Chelsea , hawajui kukaba kabisa , uzuri wa Alonso anajua kupiga na kufunga ,
Tavares ana pace ,anajua kufinya , ila mashuti Ni zero,
Mech ya Chelsea kapewa pass na Cedrid ,goli analiona alipiga utumbo, mech ya man u kamfinya mtu kwenye box , kapiga shut utumbo
Akirekebisha hayo maeneo atakuwa vzr
Westham kwenda fainali ni kazi saana, na kuingi fainali na kuchukua kombe ni kazi zaidi kama fainali atakutana na Leipzig, ambae mpaka sasa kwangu ana nafasi kubwa kufika finalWestham akichukua Europa automatically anaingia Uefa.
Hivyo timu ya nafasi ya nne (kwa sasa Arsenal) itabidi iende Europa kumpisha Westham UCL.
Kuepuka hili ni ama kupiga dua Westham asipige hatua kwenda final dhidi ya Frankfurt au akipiga asichukue kombe au Arsenal kujibana iende nafasi ya tatu.
Westham tunakutana nao leo kama kocha wao ni Carlo ataamua kufocus na game ya Alhamis anaweza pumzisha baadhi ya wachezaji haswa kwa madai ya kua ana majeruhi CB ili akashinde game dhidi ya Frankfurt. Ama la atakuja kama alivyo Trophy be damned.
Mkuu haupo serious au?Westham akichukua Europa automatically anaingia Uefa.
Hivyo timu ya nafasi ya nne (kwa sasa Arsenal) itabidi iende Europa kumpisha Westham UCL.
Kuepuka hili ni ama kupiga dua Westham asipige hatua kwenda final dhidi ya Frankfurt au akipiga asichukue kombe au Arsenal kujibana iende nafasi ya tatu.
Westham tunakutana nao leo kama kocha wao ni Carlo ataamua kufocus na game ya Alhamis anaweza pumzisha baadhi ya wachezaji haswa kwa madai ya kua ana majeruhi CB ili akashinde game dhidi ya Frankfurt. Ama la atakuja kama alivyo Trophy be damned.
Emile Hana pace?Halafu kinachomponza watu wa upande wake Xhaka na Emile wote hawana pace kwahiyo inakua ngumu kumzibia mapengo tukipigwa counter.
Westham kwenda fainali ni kazi saana, na kuingi fainali na kuchukua kombe ni kazi zaidi kama fainali atakutana na Leipzig, ambae mpaka sasa kwangu ana nafasi kubwa kufika final
Hapa kwa Frankfurt sidhani kama atachomoka
Lakini pia mzee mwenzangu sio kuwa zitaenda timu 5, ama sheria imebadilishwa? .
Hata Tavares hana pace aidha acceleration yake ndogo! Mechi dhidi ya Manchester United yule kijana Mswidi Elanga alimpita 2 times ndio nilikuja kuona kati ya haya mawili either pace au acceleration hana.
Nimesoma social science. Sikubaliani na rape, gender based violence, breach of human rights na vingine vinavyochezea eneo hilo.Leo natema nyongo kidogo hehehe. Aise sipendi kabisa watu wakitumia ubakaji kama kuonesha ushindi wa mpira. Sipendi yani acha kabisa. Naona ni kama watu wanabeza rape na rape ni serious issue siyo ya kufanyia mzaha.
Surprizingly, death, kama 'leo tunamchinja west ham hadi afe', naichukulia poa tu na mimi naitumia. Death jokes kwa sport ziko poa tu ila rape jokes, acha kabisa
Hana
Tavares ana pace.Hata Tavares hana pace aidha acceleration yake ndogo! Mechi dhidi ya Manchester United yule kijana Mswidi Elanga alimpita 2 times ndio nilikuja kuona kati ya haya mawili either pace au acceleration hana.
Nadhani ni perception level zinabadilika lakini UK inazo Secondary Schools na mfumo wake upo too strong kuwa level za high school kwa mataifa mengine ikiwemo US na Canada sema seystem ndio still ina apply grades with that Secondary schools kutokana na miaka ya kuzaliwa.mkuu huko hakuna Form 4, Saka alimaliza High school huo mwaka 2018 hiyo ni kama Advance level Kwa huku, na ukimaliza hiyo level na kutoboa ndio unaenda university
Kwahiyo dogo ana hazina ya kuja kuwa miongoni mwa wachezaji wenye taaluma kama ataamua kuendelea kusoma na kucheza mpira au asubiri amalize kwanza football career kisha aingie kula Shule
Bellerin once alikuwa the fastest footballer in the world, yes I agree sasa hana pace lakini Tavares hana hiyo pace tunayohitaji kuamini yupo nayo. Ni kweli Saka na Tierny ndio waliompita basi kwa mbali sana sana.Tavares ana pace.
Kubwa kumzidi Bellerin, Cedric, Pepe ila anaachwa na Saka na Tierney.
Elanga asingeweza kukimbizana na Tierney.
hayo ni matokeo yake ya GCSE, ni o'level au year 11, sawa na form 4. A'level au year 13, sawa na form 6, wanafanya GCE (au IB nadhani). Ila pia hapo kati kuna AS Level, kama form 5, ambayo pia matokeo yake mtu anaingia nayo mwaka wa kwanza degree course. Watu wanaanza phd wakiwa vijana si kama huku mtu anaanza phd kashavuka 30 na hapo anaonekana mdogomkuu huko hakuna Form 4, Saka alimaliza High school huo mwaka 2018 hiyo ni kama Advance level Kwa huku, na ukimaliza hiyo level na kutoboa ndio unaenda university
Kwahiyo dogo ana hazina ya kuja kuwa miongoni mwa wachezaji wenye taaluma kama ataamua kuendelea kusoma na kucheza mpira au asubiri amalize kwanza football career kisha aingie kula Shule
Yaani ni kwamba Tavares kwa Elanga atashindwa kwakua Elanga kamzidi Tavares lakini Tavares haachwi kisa pace pekee ila hana akili kubwa ya ulinziBellerin once alikuwa the fastest footballer in the world, yes I agree sasa hana pace lakini Tavares hana hiyo pace tunayohitaji kuamini yupo nayo. Ni kweli Saka na Tierny ndio waliompita basi kwa mbali sana sana.
Pitia Elanga alivyokosa nafasi mbili za kufunga alikimbia tokea kati na huyo Tavares alikuwa sawia lakini aliachwa.
NimekuelewaYaani ni kwamba Tavares kwa Elanga atashindwa kwakua Elanga kamzidi Tavares lakini Tavares haachwi kisa pace pekee ila hana akili kubwa ya ulinzi
Yea asipobadilika itabidi auzwe. Madrid walimshindwa Hakimi kwaajili hiyoNimekuelewa
Naona Tavares anaweza kuwa Winger Back zaidi kwa aina ya uchezaji wake aliwa tranformd, hata Sead Kolasinac alikuwa Winger Back.
Nimesoma social science. Sikubaliani na rape, gender based violence, breach of human rights na vingine vinavyochezea eneo hilo.
Pole na samahani
manutd wana new project....@DiMarzio:
“Darwin Núñez will play in the Premier League. I don't know where, but at a club that needs a striker for their new project.” [@wettfreunde]