Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leeds mlaini tu mbona , anaacha magepu sana ,

Jesus kashawaweka chuma Cha 3 , beki zinalaumiana
 
Jesus anazid kuwaka tu, huenda bei yake ikapanda , hii form aliyonayo Ni hatari

Mtoto anajua kufinish sana huyu

Huenda Pep akambakisha au Bei ikapanda had €50m
 
🚨🚨 Jorge Nicola: Arsenal are working on another signing from Brazil after Gabriel Jesus..

My guess is that Arsenal are working on signing Lucas Paqueta from Lyon for many reasons.
One of them is that he is multi-centered in the midfield and also plays many times on the wings and is very special in the pressure process, and this is what Arteta wants..

Alibakwa nne kavu.
 
Westham akichukua Europa automatically anaingia Uefa.

Hivyo timu ya nafasi ya nne (kwa sasa Arsenal) itabidi iende Europa kumpisha Westham UCL.

Kuepuka hili ni ama kupiga dua Westham asipige hatua kwenda final dhidi ya Frankfurt au akipiga asichukue kombe au Arsenal kujibana iende nafasi ya tatu.

Westham tunakutana nao leo kama kocha wao ni Carlo ataamua kufocus na game ya Alhamis anaweza pumzisha baadhi ya wachezaji haswa kwa madai ya kua ana majeruhi CB ili akashinde game dhidi ya Frankfurt. Ama la atakuja kama alivyo Trophy be damned.
 
Hivyo timu ya nafasi ya nne (kwa sasa Arsenal) itabidi iende Europa kumpisha Westham UCL.
Sikweli , zinaenda timu zote 5, imeshatokea hivo mara nyingi mbona ,

Msimu uliopita Villarreal amemaliza nafas ya 7 , kabeba Europa , zimeenda timu 5 Atletico Madrid, Real Madrid, Barcelona, Sevilla. Na Villarreal mwenyewe
 
Westham tunakutana nao leo kama kocha wao ni Carlo ataamua kufocus na game ya Alhamis anaweza pumzisha baadhi ya wachezaji haswa kwa madai ya kua ana majeruhi CB ili akashinde game dhidi ya Frankfurt. Ama la atakuja kama alivyo Trophy be damned.
Amesema Atafanya rotation kubwa, Kuna dogo atacheza beki leo anaitwa Alise
 
Tomiyasu Looks To Start, Odegaard In Midfield | 4-2-3-1 Arsenal Predicted Lineup Vs West Ham United

Sikweli , zinaenda timu zote 5, imeshatokea hivo mara nyingi mbona ,

Msimu uliopita Villarreal amemaliza nafas ya 7 , kabeba Europa , zimeenda timu 5 Atletico Madrid, Real Madrid, Barcelona, Sevilla. Na Villarreal mwenyewe
Siku hizi ipo hivyo?

Nakumbuka around 2019/ 20 kulikua na debate juu ya aliye nje ya top 4 epl akichukua europa
 
Waache tu wachukue europa. Sisi tupambanie 3 au 4. Nakumbuka kuna msimu chelsea alishinda ucl lakini nyumbani alikuwa wa 5 hivi akamtoa spurs aliyekuwa wa 4.
Kwa arsenal nadhani wakimaliza top 4 tu wataona improvement ya misimu iliopita na kushindwa kuingia ucl on a technicality, west ham kushind europa, haitaua morale ya wachezaji na fans na wataimarika zaidi. With luck hata sisi next season tunaweza kushinda europa vile vile
 
Ingawa nahisi hiyo sheria ilijabadilishwa na sasa zinaenda timu 5 ikibidi
 
Naona Aaron anasema mnaenda wote 5.

Hata hivyo Franfurt na wenyewe hali yao mbaya kwenye ligi kwahiyo lazima watakomalia kupitia Europa
 
Tavares ana pace ila haitumii kumsaidia kukaba yeye anaitumia kuestablish presence yake kwenye box la mpinzani.
Tavares ananikumbusha mimi enzi za shule nilikuwa nacheza 11. Kuna wakati kocha anamuweka mtu mwingine 11 afu mimi ananiweka 3. Aisee defence ilikuwa exposed balaa maana mie nilikuwa mzee wa kuoverlap na kucross kama roberto carlos ila tukipigwa counter kwishney.
 
Halafu kinachomponza watu wa upande wake Xhaka na Emile wote hawana pace kwahiyo inakua ngumu kumzibia mapengo tukipigwa counter.
 
Tavares ana pace ila haitumii kumsaidia kukaba yeye anaitumia kuestablish presence yake kwenye box la mpinzani.
Arteta juz kasema Tomiyasu anaweza pia kucheza LB ,hivo tusishangae Leo akaanza Kama LB maana tavares bado hajaimarika, dogo angekuwa Makin mech ya Chelsea angefunga, mech ya man u angetoka na goli 2

Huyu naona Ni mzuri akicheza Wingback , maana kukaba Ni mbovu sana , kushambulia anaweza , kwenye kushuti mbovu

Kuna vitu anahitaji abadilike
 
Halafu kinachomponza watu wa upande wake Xhaka na Emile wote hawana pace kwahiyo inakua ngumu kumzibia mapengo tukipigwa counter.
Huyu naona tutamfaid tukicheza na mabeki watatu, Zaid ya mara 2 Arteta amekuwa akikasirrika anamtoa mapema , ilifika muda anaona Bora Xhaka acheze LB , kuliko Tavares, kuumia kwa Partey tu ndio kumempa ahuen dogo apate namba Tena , lasivyo niliona Arteta anaona Bora atembee na Xhaka Kama LB

Na Maelezo ya Arteta juz kusema Tomiyasu hata LB anaweza kuicheza , leo Tavares akizingua huenda tukaanza kukuona Tomiyasu LB , na Cedrid akae delea RB
 
Siku hizi ipo hivyo?

Nakumbuka around 2019/ 20 kulikua na debate juu ya aliye nje ya top 4 epl akichukua europa
Walibadilisha hiyo sheria , hata mwaka ule Mourinho anachukua Europa na man u alimaliza wa 6 akaenda UCL , timu nne za juu zikaenda nazo ucl ,jumla 5,

Sawa na mwaka Jana Spain zimeenda 5

Kwasasa tunahitaji mno tushinde mech 2 zinazofata then tumuone tot yupo wapi

Tukifuzu UCL tutakuwa na pull kubwa kwenye kuvuta wachezaji na Kroenke ameahid kutoa hela

Kama without UCL last window alitoa £150m , January arsenal walikuwa tyr kumnunua Dusan kwa €80m , Ni dhahiri pesa ipo

Tuiombee timu yetu irud UCL , halafu kuanzia msimu nadhan ujao , Arsenal na man u zikimaliza hata nafas ya 5 zinaenda UCL sababu ya Point za ushiriki wait UCL ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…