West Ham will have no senior centre-backs available against Arsenal this weekend. π²
Craig Dawson will be suspended while Angelo Ogbonna, Kurt Zouma and Issa Diop are all out injured. π₯
hakuna aliyesema arteta anaugomvi na pepe. Nimesema anakuwa wasted hatumiwi vizuri.Upo serious kabisa? Kwani Arteta ana tatizo na Pepe au saliba?
Kuhusu Auba wadau wameshakujibu
Kuhusu saliba ,Sio Arteta tu, bench lote la ufundi lilikubaliana kijana hajaiva kuingia kwenye mfumo wao wanaoutaka, hivo apelekwe Loan , na afatiliwe , na mara nyingi Areta amekuwa akisema yupo kwenye mipango msimu ujao,
Kumbuka Huyu hakusajiriwa na Arteta ,hivo ni kawaida kutofit kwenye mfumo wake
Swala la Pepe mbona Hana tatizo na Arteta, kilichotokea Pepe aliaminiwa cha ajabu kapigwa Gape na Saka ,
Ulitaka Arteta afanye nn kwa Pepe?
Mchezaji akikosa tu nafasi tayari mnasema ana ugomvi na Kocha..
Pepe ni inconsistency player, na anaenda kuwekwa sokon ,
Unamlaumu vipi Arteta wakat huyu alisajiriwa na genge la kina Raul sanheil, wakapiga hela,
Arteta kafanya vingi sana kwa Pepe,kampa nafas sana, but bukayo Saka amekuwa na impact kubwa kuliko Pepe
Binafssi nampenda Pepe ila siwezi kuleta mahaba , kisa hapangwi, wakati Saka anatusaidia ,ana consnstency
understood. Implication ni kocha apate wachezaji wanaofit mfumo wake tu basi. Akirithi wachezaji basi anabidi asubiri mpaka anunue wanaomfaa. Nilimnukuu kuwa pep alisema hivyo. Then sawa. Niite poor management pamoja kuwa naelewa modern top tier football haina muda na less than perfect . Ukweli ndo huoKama definition yako ya poor management ndiyo hii basi upo sahihi , na hakuna Kocha basi mwenye management Bora duniani
Unadhan kwann Pep hafanyi kazi na Kila mchezaji ? Kwann asiwape hiyo 1v1 ya finishing,dribbling,n.k
Au unadhan kwann ilibidi klopp aachane na mwanae Karius akamnunue Allison , ?
Usajiri wa Pepe ni sawa na sajiri zinazofanyika man u, alisajiriwa kipindi Cha unai emery, kipindi ambacho hakuna proper structure ,
Na Emery mwenyewe anakiri alimtaka Zaha, ila kina Raul wakampiga Stan wakamnunua Pepe Β£72m jumla na udalali ikafika Β£100m
Makocha wote wazuri Kwanza ana define structure yake yakiuchezaji, anaanza kuweka wachezaji wanaoingia kwenye mfumo tu, ndicho wanachokifanya kina Klopp ,pep , unamuona yule Luis Diaz ,yule hawajaangalia jina , yule kaletwa sababu anafiti kwenye structure yao ya kiuchezaji
PL chances created open play 2021-22
73 Bruno Fernandes
58 Mohamed Salah
52 Martin Γdegaard
52 Bukayo Saka
52 Kevin De Bruyne
52 Bernardo Silva
Saliba hayupo kwenye plans.Upo serious kabisa? Kwani Arteta ana tatizo na Pepe au saliba?
Kuhusu Auba wadau wameshakujibu
Kuhusu saliba ,Sio Arteta tu, bench lote la ufundi lilikubaliana kijana hajaiva kuingia kwenye mfumo wao wanaoutaka, hivo apelekwe Loan , na afatiliwe , na mara nyingi Areta amekuwa akisema yupo kwenye mipango msimu ujao,
Kumbuka Huyu hakusajiriwa na Arteta ,hivo ni kawaida kutofit kwenye mfumo wake
Swala la Pepe mbona Hana tatizo na Arteta, kilichotokea Pepe aliaminiwa cha ajabu kapigwa Gape na Saka ,
Ulitaka Arteta afanye nn kwa Pepe?
Mchezaji akikosa tu nafasi tayari mnasema ana ugomvi na Kocha..
Pepe ni inconsistency player, na anaenda kuwekwa sokon ,
Unamlaumu vipi Arteta wakat huyu alisajiriwa na genge la kina Raul sanheil, wakapiga hela,
Arteta kafanya vingi sana kwa Pepe,kampa nafas sana, but bukayo Saka amekuwa na impact kubwa kuliko Pepe
Binafssi nampenda Pepe ila siwezi kuleta mahaba , kisa hapangwi, wakati Saka anatusaidia ,ana consnstency
Jesus ana traits za kua ST mzuri lakini haperform vizuri pale City kuna haja ya kujicommit kwake kiasi cha kutoa pesa nyingi hivyo?
Pia hii inamaanisha Nunez hatuna uwezo wa kumpata au la zilizokua reported ni rumours tu zisizo na ukweli.
Nikasikia tunamtaka Paqueta ila ana price tag ya 80M na Newcastle wanamtaka pia huyu jamaa.
Edu anakwambia tunahitaji mchezaji mmoja au wawili huu ni uchizi ukizingatia tunahitaji experienced signings angalau 4 kisha zije back up 2 au 3. Lakini jamaa anakuambia ". . . mchezaji 1 au 2"
Timu kama Salzburg, Leipzig, Frankfurt, Lyon, Ajax haziwezi kukosa mchezaji atakayekufaa.
Replacement ya Gnarby Bayern uyoKuna dogo mmoja yupo Leipzig, anajua nyavu zilipo: Christopher Nkunku
Unaachana na Nkunku unaenda kwa Jesus Recruitment ya Arsenal ina big problem kwa kweli that's why wachezaji wengi wananunuliwa but performance zero au unakuta wengi wanakuwa majeruhi majeruhi mechi 3 atacheza mechi 3 hospitalKuna dogo mmoja yupo Leipzig, anajua nyavu zilipo: Christopher Nkunku