Arsenal (The Gunners) | Special Thread

West ham akimfunga chelsea anamshusha nyumbu nafasi ya sita kisha anatugea chansi ya kuikalia nafasi ya tatu.
 
West ham akimfunga chelsea anamshusha nyumbu nafasi ya sita kisha anatugea chansi ya kuikalia nafasi ya tatu.
Mlikuwa mnajadili mpira ila sasa naona mmehamia kwenye ndunguri, poleni sana
 
Leave to where? As a team are you better than mancity, Liverpool, Chelsea and man utd in that order? Go and sit down and get behind the team... We trust the process and will support the process. Simple
Till death. We understand more than results
 
Oya naona mnasifia wachezaji mnaowapenda tu, Castr na Elneny & isajorsergio na Xhaka, ok, mi nipo na Bukayo saka, the best RW in the league apart from MO Salah
Sio kusifia na kupenda, ukiwa karibu na mtu ukafahamu namna gani anajitoa na kupambana huwezi kuwa na critism eye pekee kwa kila kitu. Na acknowledge, sisubiri makosa nianze kuponda.

Generally ushindi umependezeshwa zaidi na Granit goal.
 
Xhaka goal ni balaa
 
FACT πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Straika huyo wa msimu ujao.
Kashaweka kamba 4.
Ndo mchezaji wa kwanza kushinda goli 4 kwenye mechi 1 katika msimu huu.
 
Wewe juha tutolee upunda wako hapa. Achievement achievement. Wewe si ulikwenda kutafuta achievement PSG?? Kimekurudisha nini huku ngiri maji wewe?? Kwenye timu yetu msituletee umalayamalaya
Huyu jamaa ni kweli alienda psg, angekuwa muungwana angebaki huko huko ,na si kusumbuana na watu humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…