computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Naona hapa ndipo tunapotofautiana licha wote ni Arsenal fans may becomputerarsenal shida unayoipaita ni kwenda tofauti na Ideology ya mashabiki wengi wa Arsenal.
Wenzako walishaweka wazi kipaumbele chao sio Trophies, wanachotaka ni kandanda safi na wawepo kwenye top4 kila msimu.
Sasa wewe unakuja na habari za ubingwa na makombe hawawezi kukuelewa zaidi ya kukuona ni mamluki kwenye timu.
Hili litimu litakutesa sana mkuu, maana viongozi na mashabiki wake wako against kabisaaaa na mtazamo wako.
Inawezekana ndio maana nkauliza Recruitment team ni kina nani?Kroenke hana mpango wa kuiachia arsenal, kuwa mvumilivu. Lakini sidhani kama anastahili lawama. Arsenal are among the top five spenders in the last three years.
Tatizo lipo kwenye ununuzi, sina hakika kama timu ipo makini kwenye eneo hilo
Mkuu unataka kusema Gabriel Jesus hajawahi kufikisha 10 goal per season?@Aaron Arsenal sometimes unatakiwa uwe serious bro hivi Jesus ana miaka mingapi EPL?ameshawahi fikisha 10 goals per season?Jesus hana utofauti mkubwa na kina Lukaku Arsenal inahitaji forward wa uhakika wa kuscore 20 goals per season kama Auba Van Persie hivi nani ana deal na Recruitment team pale Arsenal?hao watu watakuwa ni VILAZA sijawahi kuona
Mi nilishakwambia tokea zamani, hilo litimu haliendani kabisa na kile wewe unakifikiria(unakitegemea)Naona hapa ndipo tunapotofautiana licha wote ni Arsenal fans may be
Katika hyo hyo system wameamua kumnununua HAALAND na Jesus kaona hana nafasi sasa sijajua why Pep kaamua kumtaka HAALAND na last season KANE wakati ana JESUS I don't know why!na sitaki kuamini kama KANE or HALAAND watafanyiwa rotation wakiwa Manchester City sitaki kuamini hilo labda kwenye FA na Carabao Cups lakini sitaki kuamini kama watafanyiwa hvyo kwenye Champions league or EPL why Pep anahangaika kutoa Mamilioni ya Paund wakati JESUS yupo why?Mkuu unataka kusema Gabriel Jesus hajawahi kufikisha 10 goal per season?
Na kingine ni lini pep ametoa top scorer kwenye team yake tangu amekuja epl? System ya pep ndio inafanya wachezaji wake wasifunge magoli mengi, unajua kama last season top scorer wa city alikuwa ni gundogan na goal 13?
Kaangalie rotation anayofanya pep Kwa wachezaji wake wa mbele alafu uone kama ni rahisi Kwa mchezaji wa city kufikisha 10 goal per season
Baadhi ya takwimu za Jesus akiwa city
2021/202 kacheza game 23 kaanza 163
2020/2021 kacheza game 29 kaanza 229
2019/2020 kacheza game 34 kaanza 2114
2018/2019 kacheza game 29 kaanza 87
2017/2018 kacheza game 29 kaanza 1913
2016/2017 kacheza game 10 kaanza 87
Sasa Kwa statistics hizo huyu mchezaji kama anacheza kila game kama ilivo kwa lacazate unadhani atakupa takwimu zipi mkuu na kumbuka pep hachezi na central striker
How about Elneny and Lokonga kwenye 433 na kwenye na 4231.kwenye 4231 Elneny anacheza coz ni double pivot, 433 ndio shida coz inahitaji sole controller (on & off ball) kama Partey, pia inahitaji technicality & physicality ya kiwango cha juu. Mtu akisema Holding midfielder huwa nakumbuka performance ya Partey vs Man city at the emirates, Partey vs Man u at Old trafford (1-0)
Katika hyo hyo system wameamua kumnununua HAALAND na Jesus kaona hana nafasi sasa sijajua why Pep kaamua kumtaka HAALAND na last season KANE wakati ana JESUS I don't know why!na sitaki kuamini kama KANE or HALAAND watafanyiwa rotation wakiwa Manchester City sitaki kuamini hilo labda kwenye FA na Carabao Cups lakini sitaki kuamini kama watafanyiwa hvyo kwenye Champions league or EPL
Katika hyo hyo system wameamua kumnununua HAALAND na Jesus kaona hana nafasi sasa sijajua why Pep kaamua kumtaka HAALAND na last season KANE wakati ana JESUS I don't know why!na sitaki kuamini kama KANE or HALAAND watafanyiwa rotation wakiwa Manchester City sitaki kuamini hilo labda kwenye FA na Carabao Cups lakini sitaki kuamini kama watafanyiwa hvyo kwenye Champions league or EPL
so we unaona team bfre ajawa kwenye mikono ya arteta na sa iv unaona vitu vipo sawa tu mzee c at least unaona kuna mwanga kwa mbali unaonekanaNiambie ndani ya miaka 14Arsenal ina achievements zipi ?tuanzie hapa kwanza may be hujui au huelewi nachokimaanisha tuanzie 2008 up to 2022!Taja achievements za Arsenal kama one among the best famous team and big team also in the world
In my opinion nasema Mmiliki mwenye uchungu na Team hawezi kukaa more than 18 years hana EPL na haieleweki Arsenal atabeba big trophieslini na unaona no changes at all last time Arsenal kwenda final in Champions league ni 2006 inawezekana ulikuwa primary school na hata 2004 ulikuwa standard one so unaona ni normal kwa Arsenal kuwa hivi ilivyo sasa wewe nitajie Achievements za our team kuanzia 2008 up to now kisha tuendelee na hoja
Kroenke hataki kuuza team sababu anamake profit na Arsenal fans wengi wameridhika wanajiona ni big team wakati its not true but I am telling you siku akija new owner timu itabadilika na tutakuwa tupo happy daily
Kwangu mimi Achievements za Arsenal in 14 years ni kuparticipate katika EPL na kubeba FA cups (ambavyo ni vikombe vya mbuzi)
Wametukosea sana ManchesterNdugu zangu leo Maguire hayupo.
Nimetolea mfano kama angekuja hapoDeal la Kane lilishindikana most likely his price tag and wage
Wana tabia mbayaWametukosea sana Manchester
Wagwaya wachezaji wenzake wamemlalamikia kwa kocha, sasa hivi wachezaji wenzake waogopi akitoa boko ila wanaogopa kujeruhiwa na beki wao, hivyo wamelalamika wakiwa nae wanacheza kwa uoga na tahadhari ya hali ya juu ili wasijeruhiwe.Ndugu zangu leo Maguire hayupo.
Huyo Varane na hiyo miguu yake isiyo na balance hana tofauti hata kidogo na Maguire.Wagwaya wachezaji wenzake wamemlalamikia kwa kocha, sasa hivi wachezaji wenzake waogopi akitoa boko ila wanaogopa kujeruhiwa na beki wao, hivyo wamelalamika wakiwa nae wanacheza kwa uoga na tahadhari ya hali ya juu ili wasijeruhiwe.
Leo kosi la dunia limekamilika, kosi la leo limepania kupiga tena zile goli 8.
Kosi la maangamizi, leo Manchester United anaungana na Urusi kuwapiga vibaraka wa ZeleiskyWagwaya wachezaji wenzake wamemlalamikia kwa kocha, sasa hivi wachezaji wenzake waogopi akitoa boko ila wanaogopa kujeruhiwa na beki wao, hivyo wamelalamika wakiwa nae wanacheza kwa uoga na tahadhari ya hali ya juu ili wasijeruhiwe.
Leo kosi la dunia limekamilika, kosi la leo limepania kupiga tena zile goli 8.