OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Sisi arse8 mbona tulishinda hii game mkuu ..nenda laivuskoo tena angalia vizuri dakika ya 98 na 97 Lokonga na arteta wanatupia tunashinda 3 kwa 2.Arsenal 1 vs Brighton 2
Everton 1 Man u 00
Southampton 00 vs Chelsea 6
Ni wangapi wenye uwezo wa kufanya hivyo!?Nahis wengi wangekua wanaongelea mapungufu ya Arsenal kwa tactical kama anavyofanya @willJr nahis ingekua ni bora
Kitu kinachotuua ni ufinyu wa kikosi lait kama tungekuwa na kikosi kipana wala kusingekuwa na hizi habari japo lolote hutoa kwenye football. Wachezaji wetu muhimu walicheza kwa kujituma sana mechi kadhaa huko nyuma na sasa wameanza kuandamwa na uchovu na majeraha. Bado tuko kwenye nafasi nzuri ya top 4 na hata 3. Suala ni kuomba wachezaji wetu warudi mapemaKwa timu za spurs na Arsenal kwenda CL wala siyo kigezo cha kuletewa wachezaji wakubwa. Wote tuna wamiliki miyeyusho kwahiyo ulichosema hakina usahihi wa 100%
Hata Arsenal kutosajili CM dirisha la January ilikua ni huu ubahili pia umechangia.
Mi nilidhani red za Xhaka na injuries za Partey ndiyo zitatuharibia injury tayari bado kuona Xhaka atamaintain for how long
Hii ya ufinyu wa Kikosi hasa kwenye injini sio issue ya Kuijadili, maana wanaosababisha ni wenye ujeuri wao Arteta na Edu, tena ukizingatia wao ni ex mids na wanajua Game should be won on the middle and not upfront. Wao hili wameshindwa kureaddress,Kitu kinachotuua ni ufinyu wa kikosi lait kama tungekuwa na kikosi kipana wala kusingekuwa na hizi habari japo lolote hutoa kwenye football. Wachezaji wetu muhimu walicheza kwa kujituma sana mechi kadhaa huko nyuma na sasa wameanza kuandamwa na uchovu na majeraha. Bado tuko kwenye nafasi nzuri ya top 4 na hata 3. Suala ni kuomba wachezaji wetu warudi mapema
Bado mechi 8 msimu uishe.Kitu kinachotuua ni ufinyu wa kikosi lait kama tungekuwa na kikosi kipana wala kusingekuwa na hizi habari japo lolote hutoa kwenye football. Wachezaji wetu muhimu walicheza kwa kujituma sana mechi kadhaa huko nyuma na sasa wameanza kuandamwa na uchovu na majeraha. Bado tuko kwenye nafasi nzuri ya top 4 na hata 3. Suala ni kuomba wachezaji wetu warudi mapema
Sis arsenal na man u ni pipa na mfuniko aseeeeeeeMkoPoKa kama unavyosema sasa kikosi kikiwa kifinyu nani alaumiwe?wa kulaumiwa ni kocha mpumbavu na technical wake dunia nzima ilipiga kelele mambo ya usajili mwishowe tukabaki na Laca na Nketiah kama forwards kwenye Mid Xhaka na Parteyalone Arteta na Edu wana tabia ya kujiamini kumbe ni wapumbavu tu kuna players wameenda kwa loan timu zingine na wanaperform better kabisa imagine benchi la Arsenal la sasa hivi kuna vitoto majina yao hata hayafahamiki ndio wanakaa benchi unaona kabisa gameplan ikifeli au important player akiumia replacement hakuna
Loans zipo kibao huko lakini majeruhi mmoja au wawili tu timu inapwaya, hem fikiria ni Partey, Tomiyasu, Tierney tu waliopo majeruhi na timu ina shake sio poa!MkoPoKa kama unavyosema sasa kikosi kikiwa kifinyu nani alaumiwe?wa kulaumiwa ni kocha mpumbavu na technical wake dunia nzima ilipiga kelele mambo ya usajili mwishowe tukabaki na Laca na Nketiah kama forwards kwenye Mid Xhaka na Parteyalone Arteta na Edu wana tabia ya kujiamini kumbe ni wapumbavu tu kuna players wameenda kwa loan timu zingine na wanaperform better kabisa imagine benchi la Arsenal la sasa hivi kuna vitoto majina yao hata hayafahamiki ndio wanakaa benchi unaona kabisa gameplan ikifeli au important player akiumia replacement hakuna
Watakuja watataja mbinu zake mara sijui nini but kiujumla kocha anayeshindwa kumanage wachezaji ni mpumbavu na hili limeonyesha kwa kipindi hiki for example majeruhi tu hao wachache timu imeyumba na dalili za kupoteza nafasi zaidi zinajionyesha sasa mfano Saka akiumia what next?why January hakusajili ?jibu ni hakunaLoans zipo kibao huko lakini majeruhi mmoja au wawili tu timu inapwaya, hem fikiria ni Partey, Tomiyasu, Tierney tu waliopo majeruhi na timu ina shake sio poa!
Arsenal imekuwa timu ya hovyo!
Edu aje atujibu why hakusajili!?Watakuja watataja mbinu zake mara sijui nini but kiujumla kocha anayeshindwa kumanage wachezaji ni mpumbavu na hili limeonyesha kwa kipindi hiki for example majeruhi tu hao wachache timu imeyumba na dalili za kupoteza nafasi zaidi zinajionyesha sasa mfano Saka akiumia what next?why January hakusajili ?jibu ni hakuna
Na katika 18 wanaostahili kikosi cha kwanza tunao pungufu ya 12, injury moja na red card moja team haupangiki, ujinga huu wa kiwango hiki ni kwa hisani Teta, Edu na Mustachukiondoa makipa, arsenal wana wachezaji 18 wa kikosi cha kwanza.
Ambaye hana matumaini ya kurudi msimu huu ni Tierney ila Tomiyasu na Partey wanaweza kurejea mechi zinazofuata. Na tunaemhitaji zaidi ni Partey kwa ajili ya kuunganisha timu wakisaidiana na Xhaka alafu huku nyuma anaweza kumtumia Ben White km RB na Cedric km LB alafu Holding na Gabriel km CB hapo tayari anakuwa amerudi kwenye mfumo wake wa 4-2-3-1 ambao ameutumia na kumpa matokeoBado mechi 8 msimu uishe.
Hakuna namna wachezaji watarudi mapema.
Lembua akipita huku anatingisha mzigo kuvutia wanunuzi wapya.Poor Arsenal, tukutibu kwa dawa ipi?
- Phenoxymethylpenicillin imekataa
- Mwaarobaini imekataa
- ARV imekataa
- Nyungu zote zimekataa
- Sasa imebaki maombi
Yaani player kama huyu unategemea akupeleke ChampionsArteta aende kwa Ivan toney haraka, Goal contribution 19 G+A kwa mechi 31. I like Ivan Toney, he is better than lacazette.
Yaan ad leo najiuliza kwa nin walimuachia AMNEdu aje atujibu why hakusajili!?
Kama bwana Mustach amenyima pesa aseme ili tumpasue muhusika na sio hizi za kubahatisha nani amesababisha tusijenge kikosi.
Pia Kiangazi watu wako bize sokoni sisi tulikuwa bize kuokoteza watoto ambao leo hawana Msaada.
And why kiraka AMN aliachwa aende loan, na kubakiza SAMBI!?