Una ubora gani wewe. Wakubwa wpte wamekukojolea!!!!Yan Arsenal kupoteza game ya jana, maneno yanayosemwa utazan ndo game ya kwanza tumefungwa toka ligi inaanza, ila hii inaonyesha ni kwanamna gan unapokua bora unapata maadui wengi sana tofauti na mwanzo ilivyokua
Nafasi ya tatu na hayo majeruhi?Our aim was nafasi ya tatu.
Sasa hivi inabidi tuiwazie na namba nne pia
Mkuu, binafsi huwa sipendi kuandika makala, kwangu ukitaka tueleweshane mambo ya mpira basi twende kwa muundo wa swali na jibu na tutumie data tukisapoti tunachotetea hapo naona ni rahisi. Unajua unaweza mchukia Mikel Arteta kumbe mnatofautiana a point of view, muhimu utuoneshe kwanza unaview game kwenye angle ipi ili tukuelewe unachokisema na ukitumia data inakuwa very nice.Will Jr anaangalia mechi chache za timu zingine kisha anarely kwenye stats.
Hiyo ndiyo assumption yangu.
Waweza kuta anasisitiza kitu ukimuuliza analeta stats ukimuuliza mbona hivi iko hivi hapo jibu atakosa ndo mtakutana siku nyingine.
Mentality comes with time / Experience. Mchezaji yupi mwenye uzoefu pale Arsenal ukimtoa Xhaka & lacazette? Ni kivipi unaweza ijenga timu vizuri mentally kwa kuignore variable ya time? Lakini pia kuoffset hayo matatizo Arsenal inabidi kushinda at elite level / UCL ndio maana tunalia hii timu irudi UCL.Hayo madhaifu yalinishutua sana jana learning that team haijajengwa vizuri mentally
if your team is made up of mainly young players, you need to engage a professional to nurture their mentality. will Jr naamini hili unalijua; teams do not rely entirely on senior players to do this to their juniors. usimsikilize RooneyMentality comes with time / Experience. Mchezaji yupi mwenye uzoefu pale Arsenal ukimtoa Xhaka & lacazette? Ni kivipi unaweza ijenga timu vizuri mentally kwa kuignore variable ya time? Lakini pia kuoffset hayo matatizo Arsenal inabidi kushinda at elite level / UCL ndio maana tunalia hii timu irudi UCL.
Ulivyoanza imebidi nisome kwa umakini zaidi ili nielewe kila point utayoisema ila nimepuuza baada ya kusema kuwa bora bila UEFA. Kwahiyo kwako wewe kuwa bora ni kuchukuwa UEFA?Nyinyi siyo bora na wala hamjawahi kuwa bora kwa kipindi cha hivi karibuni.
Kushinda mechi kadhaa haiwafanyi kuwa bora. You simply had a run of good results, period!!!!
Majuzi kabla ya mechi vs Chelsea, Newcastle alicheza karibia mechi saba bila kupoteza, Je hiyo run inamfanya awe bora????
Timu inakaribia misimu kumi bila UEFA, halafu wanajiita bora. Kupata vichekesho kama hivi tubonyeze ngapi mkuu
nakukatalia, that guy is genius; alijua ukitaka kuvunja nguvu ya arsenal contain some specific players. Odegaard, Partey ili kuvunja supply ya mipira to our key goal scorers. ndivyo ilivyokuwa jana, Koyaute was invicible lakini alifanya kazi kubwaNarudia tena Viera hakuwa na maajabu, ukitaka twende structurally tutaandika sana, ngoja tuview XG map inasemaje.
Expected goal hii hapo japo tulikuwa worse sana jana, afu unakuta Mbumbumbu anakwambia Viera kamuoutsmart Mikel Arteta, kwa kipi ? Kwa kuwa kashinda 3-0? Kocha unamjudge on paper na anachoexcute uwanjani, sio matokeo, matokeo yanakuja hata kwa circumstances za uwanjani.View attachment 2176674
Sijabisha mkuu lkn mpira huwa hauchezwi on paper, ni uwanjani!Bro on paper United ina kikosi kizuri, world class, usibishe.
Starting 11 ya United yote inaitwa national team.
Kudai United haina kikosi superior ni uongo.
Last time Arsenal won a trophy ni kweli Trump alikua rais. Na last time united won anything ilikua Trump ni nani?
Arteta bado hawezi fananishwa na makocha wengi wakubwa wakubwa ila jamaa ni mzuri na anaelekea huko kwenye ukubwa.
Working wonders with the squad he has.
Siijabisha mkuu lkn mpira huwa hauchezwi on paper, ni uwanjani!Sijabisha mkuu lkn mpira huwa hauchezwi on paper, ni uwanjani!
Ni PSG huyuhuyu msimu uliopita hakuchukua kombe la ligi na likachukuliwa na Lille. On paper, who would have thought that??
How can you say kikosi chako ni superior wakati kila weekend kinakuwa outplayed na kina Leicester, Aston Villa, Norwich and the likes.
Arteta is good but not good enough, not among football's elite. Kumpa muda haimanishi ni guarantee kwamba atakuja kuwa kocha mkubwa. Ila kama mmeamua kuanza naye chini haina shida😅😅.
Inconsistencies, disappointments and bottling ndo vitu mtarajie
Na sisi hatutachoka kuja kulitembelea hili jukwaa where necessary 😂😂
Yeah, kuchukua UEFA ni moja ya factors inayoonyesha ubora wa team.Ulivyoanza imebidi nisome kwa umakini zaidi ili nielewe kila point utayoisema ila nimepuuza baada ya kusema kuwa bora bila UEFA. Kwahiyo kwako wewe kuwa bora ni kuchukuwa UEFA?
Board ya Arsenal waliruhusu vipi timu kuwa na wachezaji wadogo kwa wingi huu? Unajua wangepitisha fungu wakasajili wachezaji wawili watatu wakuAdd experience, binafsi kiufundi siwezi mlaumu kocha sababu amejitahidi kwa uwezo wake and he gives us the best possible chance of winning games.if your team is made up of mainly young players, you need to engage a professional to nurture their mentality. will Jr naamini hili unalijua; teams do not rely entirely on senior players to do this to their juniors. usimsikilize Rooney
Sibishi kuhusu uwezo wake, ila game ile tulijipa ugumu wenyewe coz we were sloppy, viera angefanya kitu gani ili kutunyima aggression off the ball?nakukatalia, that guy is genius; alijua ukitaka kuvunja nguvu ya arsenal contain some specific players. Odegaard, Partey ili kuvunja supply ya mipira to our key goal scorers. ndivyo ilivyokuwa jana, Koyaute was invicible lakini alifanya kazi kubwa
Kazi ya kocha ni kuwautilize wale walio on paper kuleta matokeo uwanjaniSijabisha mkuu lkn mpira huwa hauchezwi on paper, ni uwanjani!
Ni PSG huyuhuyu msimu uliopita hakuchukua kombe la ligi na likachukuliwa na Lille. On paper, who would have thought that??
How can you say kikosi chako ni superior wakati kila weekend kinakuwa outplayed na kina Leicester, Aston Villa, Norwich and the likes.
Arteta is good but not good enough, not among football's elite. Kumpa muda haimanishi ni guarantee kwamba atakuja kuwa kocha mkubwa. Ila kama mmeamua kuanza naye chini haina shida😅😅.
Inconsistencies, disappointments and bottling ndo vitu mtarajie
Na sisi hatutachoka kuja kulitembelea hili jukwaa where necessary 😂😂
Anazungumzia kushiriki UEFA ng'ombe wewe.Ulivyoanza imebidi nisome kwa umakini zaidi ili nielewe kila point utayoisema ila nimepuuza baada ya kusema kuwa bora bila UEFA. Kwahiyo kwako wewe kuwa bora ni kuchukuwa UEFA?
Kumchukia Arteta ni kutojua Arsenal ilipokua na inapoelekeaMkuu, binafsi huwa sipendi kuandika makala, kwangu ukitaka tueleweshane mambo ya mpira basi twende kwa muundo wa swali na jibu na tutumie data tukisapoti tunachotetea hapo naona ni rahisi. Unajua unaweza mchukia Mikel Arteta kumbe mnatofautiana a point of view, muhimu utuoneshe kwanza unaview game kwenye angle ipi ili tukuelewe unachokisema na ukitumia data inakuwa very nice.
Umeona sasa.Narudia tena Viera hakuwa na maajabu, ukitaka twende structurally tutaandika sana, ngoja tuview XG map inasemaje.
Expected goal hii hapo japo tulikuwa worse sana jana, afu unakuta Mbumbumbu anakwambia Viera kamuoutsmart Mikel Arteta, kwa kipi ? Kwa kuwa kashinda 3-0? Kocha unamjudge on paper na anachoexcute uwanjani, sio matokeo, matokeo yanakuja hata kwa circumstances za uwanjani.View attachment 2176674
Mlishirikiana kuandika, kakutuma au ni wewe una id mbili? Hivi mlezi wako ndiye aliekufundisha kuita watu ng'ombe?? Hivi umelelewa na Baba na Mama kweli??Anazungumzia kushiriki UEFA ng'ombe wewe.
Mchukue UEFA hiyo jeuri mnayo?
Siyo Carabao ile.
Siyo Carabao ile narudia tena. ……Mlishirikiana kuandika, kakutuma au ni wewe una id mbili? Hivi mlezi wako ndiye aliekufundisha kuita watu ng'ombe?? Hivi umelelewa na Baba na Mama kweli??
Anyway ngoja nikupuuze maana yawezekana sio kosa lako ila la walezi wako ambao wamekulea kitahira.
Sio makasiriko, kwani ili uonekane umepinga mpaka utoe matusi/kuita watu ng'ombe!!!??Siyo Carabao ile narudia tena. ……
Acha makasiriko.