Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Don’t underrate teams in the relagation territory, with reference to what happened yesterday to chelsea.
Tough games ahead of us are; man United, chelsea, Spurs and westham
Cha kusikitisha zaidi games zote hizo 4 mnaukalia halafu hasira zenu zote mtahamishia kwa Arteta.
 
Cha kusikitisha zaidi games zote hizo 4 mnaukalia halafu hasira zenu zote mtahamishia kwa Arteta.
Tukihamishia hasira kwa arteta itakua sawa tu ila nyinyi mnabakwa day in day out na mnachekelea profesa atawafikisha mbali
 
Tena ajidhihiriishe tu kwamba yeye ni Manchester United wala asipate tabu. Hana haja ya kujifanya arsenal huku mafanikio ya arsenal yanamuumiza
 
Tena ajidhihiriishe tu kwamba yeye ni Manchester United wala asipate tabu. Hana haja ya kujifanya arsenal huku mafanikio ya arsenal yanamuumiza
Eti mafanikio ya Arsenal yanamuumiza

Hivi arsenal inamafanikio gani???
 
Kuwa juu ya Man UTD kwenye table nayo ni mafanikio ya Arsenal.Kwani hujui?
hongera zao kama tafsiri ya mafanikio kwao ni kua juu ya Man United kwenye msimamo wa ligi.
Ila wasubiri mpaka ligi ifike mwisho ndio washerehekee ubingwa wao.
Wanaweza kusherehekea muda huu halafu Man United akapindua meza kibabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…