sawa kabisa. Kuna wanaojawa na hofu kuwa tumeanza kupambania top 4 kama kina nyumbu na kremlin kwa sababu tumepotea 3 seasons. Kumbe top 4 ilikuwa kawaida sana kwetu kushiriki na kiu ya fans ni mataji, haswa premier league. Pia champions league tunataka kufika mbali. Baadae tuichukue pia. Hapo sasa pia ndo kuna wana asenali wasiodhani mikel ndiye wakutuletea hayokuna watu wanaogopa kifuatacho like hatustahili kuwa hapo tulipo.in case waanze tu kuzoea maana tuna misimu miwili mbele kabla hatujaiona arsenal ya ndoto zetu.tukifanikiwa kutunza the curent squad na few signings watakaoongezeka naamini we will be a threat
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mashabiki wa AsaniAli hua mnafurahisha kishenzi.Congratulations to Arsenal manager Mikel Arteta on winning the Premier League Manager of the Month for March, his second time winning the award this season. #afc
@m8arteta
View attachment 2172285
kifo cha chelsea ni furaha kwetuKumekucha jamani njoo muone timu ya AsaniAli wamekabidhiwa kombe hukuuuuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2173021
Mwaka huu tutaheshimiana tu!...Si nchezo 1-4
J3 tujikaze, sio muda mzuri wa kupiga game, itakuwa game ngumu saana kwetu, ikitoea tumeshinda itakuwa kwa mbinde.Another brilliant result for Arsenal. We can’t let this opportunity slip on Monday.
hii picha siyo ya 2019 huko kweli. si alishanyoa hizi nywele na mzuzu?William Saliba x leaked Arsenal 2022/23 away kit.
View attachment 2173347
Can't wait. It's been too damn long.Mikel Arteta:
I will give every drop of blood for this football club to make it better. I will get Arsenal playing the kind of fast flowing, attacking football that Arsenal supporters around the world want to see
View attachment 2173342