Kwa hiyo Martinelli atakuwa developed kuwa no.9 acheze kama laca? naona gabigol ataiweza hiyo maana anaweza kupress na kutrack. anaweza kuchenga. yuko vizuri kwa vichwa kwa cross na atafaa kama poacher na kwa kujitengenezea chances pia ikibidi.Arsenal are in pole position to sign PSV Eindhoven forward Cody Gakpo. PSV are hoping to smash their record fee received for a player, which is currently the €40 million they got for Hirving Lozano. (VI)
But he is useless at Arsenal losing balls to much
Huyu mtu na muhusudu sana plus Watkins na nkunku wa leipzig.
@FabrizioRomano
: “I can tell you that Arsenal asked for information about Raphinha of Leeds. Barcelona are leading the race for Raphinha, but they’re looking for that kind of player, so Gakpo is a player they’re following, also Raphinha is a player they like.”
View attachment 2168643
huyu nketiah hamna mchezaji humo.jamaa angefanya vizur saana enz za wenger maana there was no terrific pressure from the bossArsenal beat Brentford B 4-1 today in a friendly.
Lacazette hat-trick and Rob Holding scored a goal.
Leno; Swanson, Holding, Ogungb; Tavares; Azeez, Patino, Sagoe Jr-Ibrahim; Nketiah, Lacazette.
Subs: A. Okonkwo, Sousa, Dinzeyi, Bandeira, Butler-Oyedeji, Ideho, Biereth.
View attachment 2169811
Naona tukifuzu UCL, kitakua kivutio kikubwa saana kwa nyota wengi zaid, yan hatutatumia nguvu kubwa zaid kuwashawishiCody Gapko / Darwin Nunez pia kuna taarifa za Raphinha, so we keep tabs on them, Mikel Arteta anaibadili Arsenal kuwa kama Man city, kila namba wachezaji wawili, tukisajili winger tutakuwa na Saka/ Pepe/ Martinelli / New Winger mimi namwita Raphinha coz I love Raphinha.
Mnajifariji Wana Gunnerz na matamanio yenu ingali timu yenu falsafa yake mnaijua kuhusu sajiri za wachezaji.Cody Gapko / Darwin Nunez pia kuna taarifa za Raphinha, so we keep tabs on them, Mikel Arteta anaibadili Arsenal kuwa kama Man city, kila namba wachezaji wawili, tukisajili winger tutakuwa na Saka/ Pepe/ Martinelli / New Winger mimi namwita Raphinha coz I love Raphinha.
so jicho lako bado ata alijaona km arsenal inabadilikaMnajifariji Wana Gunnerz na matamanio yenu ingali timu yenu falsafa yake mnaijua kuhusu sajiri za wachezaji.
Huyo Raphina kasha sajiriwa barca siyo muda.
Gakpo Van nestory ambae ni kocha mpya psv kasema atapiga juu chini abaki.
Huyo nunez hata msimuwazie maana uhakika wa 100% wa top four bado japo muna % kubwa ya kuwa top four kuliko wapinzani,Na wachezaji wengi Wana penda kucheza uefa kama Dusan mlivyo mjadili Sana mwishowe Juventus wakajinyakulia striker.Timu yenye % kubwa kumchukua ni Liverpool ambao watacheza nao QF uefa ko Nunez atakuwa kama ana ji bland Kwa majogoo.
Dyabala kasema mwenyewe kwa mdomo wake kuwa angependa kuicheza A.Madrid msimu ujao kuliko club nyingine ulaya.
ARTETA HUYU AMBAE ANA WIN MECHI SITA MFULULIZO ZISIZO NA UMUHIMU NA KUPOTEZA POINTI MECHI MBILI AU TATU MECHI ZA MUST WIN? ARTETA HUYU BIG TEAMS YOYOTE HATA IWE HOI KIASI GANI HAFUI DAFU ndo unasema anaitengeneza Arsenal kuwa kama Man city ya Pep?
Kwahiyo kwako wewe ni bora kuwin mechi mbili au tatu za muhimu alafu upoteze mechi 6 zisizo za muhimu. Mkuu kwahiyo ni bora point 6 au 9 kuliko point 18??Mnajifariji Wana Gunnerz na matamanio yenu ingali timu yenu falsafa yake mnaijua kuhusu sajiri za wachezaji.
Huyo Raphina kasha sajiriwa barca siyo muda.
Gakpo Van nestory ambae ni kocha mpya psv kasema atapiga juu chini abaki.
Huyo nunez hata msimuwazie maana uhakika wa 100% wa top four bado japo muna % kubwa ya kuwa top four kuliko wapinzani,Na wachezaji wengi Wana penda kucheza uefa kama Dusan mlivyo mjadili Sana mwishowe Juventus wakajinyakulia striker.Timu yenye % kubwa kumchukua ni Liverpool ambao watacheza nao QF uefa ko Nunez atakuwa kama ana ji bland Kwa majogoo.
Dyabala kasema mwenyewe kwa mdomo wake kuwa angependa kuicheza A.Madrid msimu ujao kuliko club nyingine ulaya.
ARTETA HUYU AMBAE ANA WIN MECHI SITA MFULULIZO ZISIZO NA UMUHIMU NA KUPOTEZA POINTI MECHI MBILI AU TATU MECHI ZA MUST WIN? ARTETA HUYU BIG TEAMS YOYOTE HATA IWE HOI KIASI GANI HAFUI DAFU ndo unasema anaitengeneza Arsenal kuwa kama Man city ya Pep?
rubbishMnajifariji Wana Gunnerz na matamanio yenu ingali timu yenu falsafa yake mnaijua kuhusu sajiri za wachezaji.
Huyo Raphina kasha sajiriwa barca siyo muda.
Gakpo Van nestory ambae ni kocha mpya psv kasema atapiga juu chini abaki.
Huyo nunez hata msimuwazie maana uhakika wa 100% wa top four bado japo muna % kubwa ya kuwa top four kuliko wapinzani,Na wachezaji wengi Wana penda kucheza uefa kama Dusan mlivyo mjadili Sana mwishowe Juventus wakajinyakulia striker.Timu yenye % kubwa kumchukua ni Liverpool ambao watacheza nao QF uefa ko Nunez atakuwa kama ana ji bland Kwa majogoo.
Dyabala kasema mwenyewe kwa mdomo wake kuwa angependa kuicheza A.Madrid msimu ujao kuliko club nyingine ulaya.
ARTETA HUYU AMBAE ANA WIN MECHI SITA MFULULIZO ZISIZO NA UMUHIMU NA KUPOTEZA POINTI MECHI MBILI AU TATU MECHI ZA MUST WIN? ARTETA HUYU BIG TEAMS YOYOTE HATA IWE HOI KIASI GANI HAFUI DAFU ndo unasema anaitengeneza Arsenal kuwa kama Man city ya Pep?
Inabadilika mechi kadhaa,mechi kadhaa inabadilika tena.so jicho lako bado ata alijaona km arsenal inabadilika
rubbish