Nakumbuka Sanchez baada ya kuihama Man Utd na kutimkia Inter Milan akaongea maneno haya kwenye media:nafikiri hujaelewa vizur,uliza nani alimshawishi pepe kuja arsenal.mbali na fedha,brand,legacy ya klabu,mashabiki na kocha,moja kati ya vitu muhimu wachezaji hutamani kuvijua kwenye klabu mpya wanayoelekea ni dressing room atmosphere.wakishapata uhakika wa hiyo kitu mchezaji huwa anajisikia amani zaidi.ukitaka kujua hili muulize sanchez na ozil kwanini walichagua kuja arsenal at their prime time.
sisemi odegard atafanya kitu kumshawishi jamaa,its 90% unlikely but remember the power of espionage in every angle
Safi. Sasa timu imeongeza internationals wanaotambulika na kuitwa. Competition for placess itaongezeka na kiwango mchezoni kitaongezeka kwa kila mtu.Muhuni kaitwa National team watu kama hamuoni vile [emoji16]View attachment 2165911
huyu muhuni kuna disaster kubwa ataileta pale klabuni,kwanza ni natural destroyer.atatengeneza second pair kule nyuma.mimi napenda alivyo brutal.namwona coscienly mwingine.tunahitaji beki mwenye roho mbaya kwelikweli yaani hata forwad akiwaza kukutana timu yetu anajiuliza kama atatoka salama.beki anakuchezea rafu alafu anakukoromeaMuhuni kaitwa National team watu kama hamuoni vile [emoji16]View attachment 2165911
nafikiri hujaelewa vizur,uliza nani alimshawishi pepe kuja arsenal.mbali na fedha,brand,legacy ya klabu,mashabiki na kocha,moja kati ya vitu muhimu wachezaji hutamani kuvijua kwenye klabu mpya wanayoelekea ni dressing room atmosphere.wakishapata uhakika wa hiyo kitu mchezaji huwa anajisikia amani zaidi.ukitaka kujua hili muulize sanchez na ozil kwanini walichagua kuja arsenal at their prime time.
sisemi odegard atafanya kitu kumshawishi jamaa,its 90% unlikely but remember the power of espionage in every angle
Muhuni kaitwa National team watu kama hamuoni vile [emoji16]View attachment 2165911
Hamuwezi kuelewa hata Wenger tulikua tunawaambia hivi hivi, nyie arsenal huwa sijui ni nani kawaloga wote akili zenu zinafanana.Hapana shaka mpira wa EPL umeanza kuufutilia mwaka huu
Unajua role Havertz anayochezeshwa pale chelsea?Havertz ni AM na Martin ni AM kuna shida gani wakifananishwa
NajuaUnajua role Havertz anayochezeshwa pale chelsea?
Je ni sawa na anayochezeshwa huyo mchezaji wako?Najua
NdiyoJe ni sawa na anayochezeshwa huyo mchezaji wako?
Nilijua naongea na mtu mwenye akili.Ndiyo
PambafNilijua naongea na mtu mwenye akili.
Waliona hana umuimu kwao wana modric, kroos n ceballos japo ceballos bado sana kwa odegardHivi Madrid waliwaza nini kumwachia Odegaard, nahisi walipotea maboya!
Ya kweli haya?Kitu hicho, summer anakuja freeView attachment 2167374
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
uzee jaman,who is the guyKitu hicho, summer anakuja freeView attachment 2167374
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app