Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game tukipoteza hii itakuwa Arsenal akikutana na Big giants anakuwa kibonde but game inaendelea may be Arsenal anaweza akapata point but ikiisha hivi itakuwa the same story Arsenal ni kibonde kwa giants

Liverpool katutoa Carabao Cup hapo hapo Emirates leo tena apate 3 points hapo hapo Emirates?basi hakuna namna ikibaki hivi hivi itakuwa sisi tumekuwa vibonde tupambane na wa size yetu
 
Castr, nadhani unaona kuna moments team inasit deep, unajua kwanini? Tunakosa athletes wakupress high reliably, ndio maana huwa nashangaa mtu akisema ni maelekezo ya kocha.
Kusit deep baada ya kuscore na kutotaka kupanda ni tofauti na kusit deeo kwakua mpinzani wako anakukabia juu
 
Huu upande wa Saka na Cedric tangu first half niliona hatari inayokuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…