Timu yetu kwa sasa ime-improve sana na soka linalopigwa mpaka raha kuangalia. Yaan timu inapiga one touch huku ikiwa kwenye speed kali kulifuata lango la mpinzani.
Imefikia mahala ambapo wakikwambia uchague man of the match lzm upate kigugumiz maana Saka, partey, odegard ni wa moto kweli kweli